Ama kweli mapenzi kizunguzungu ushamsamehe mara hii na umechukua nyumba?? Ha ha ha ha mie sisamehi na wala sina uvumilivu bana. Ukiniudhi nakupiga chini tu
Ha ha ha ha habari yake KIJIWE SAMRI- BOM BOMUVUMILIVU ni mradi wa Hasara....!
Infact hata biznec proposal yake haiwezi kabisa kuangaliwa na DONAAAZ
Michelle tumevumuliana vya kutosha, unaonaje tupande stage sasa
Nashukuru Sana bora umekuja maana wewe ndio unamuweza huyohebu rudi chumbani nisikasirike si umeshachukua ushauri au kuacha?
kaka sijakuelewa :twitch::twitch::twitch: ninamtesa nani tena???
Nielekeze tu labda sijui kama namtesa mtu.......:coffee:
Hang on Hang on kakauvumilivu uvumilivu uvumilivu baaasi
UVUMILIVU ni mradi wa Hasara....!
Infact hata biznec proposal yake haiwezi kabisa kuangaliwa na DONAAAZ
Khe Kheee Kheeeee Kheeeeeeeemmmhhhh nitawavulia wangapi jamani.....unikome kabisa.....alokutuma mwambie ulinikuta nimetoka,umeelewa??
Wewe mbona unapenda kuingilia ndoa za watu ngoja nikufunge minyororo hiyo miguu yako
mmmhhhh nitawavulia wangapi jamani.....unikome kabisa.....alokutuma mwambie ulinikuta nimetoka,umeelewa??
Andaaa mama na funds nakupa kabisanaandaa proposal ya kuvumilia kukukosa hapa!finest atakuwa donor
Nashukuru Sana bora umekuja maana wewe ndio unamuweza huyo
naandaa proposal ya kuvumilia kukukosa hapa!finest atakuwa donor
hebu rudi chumbani nisikasirike si umeshachukua ushauri au kuacha?
Khe Kheee Kheeeee Kheeeeeeee
mama watoto siwezi kufikia to the extent ya ile situation
Ki mpango mkakati! onyesha busara zake watu wapime uvumilivu wako...........NimekusomaMe and you will always adhere to the same situations so we must get something suitable for us...you know what i mean