WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Ama kweli mapenzi kizunguzungu ushamsamehe mara hii na umechukua nyumba?? Ha ha ha ha mie sisamehi na wala sina uvumilivu bana. Ukiniudhi nakupiga chini tu
hebu rudi chumbani nisikasirike si umeshachukua ushauri au kuacha?