ha ha ha ha!hapa sijaona napita tuhaina neno mpenzi
asante sana lakini...
ukirudi nyumbani kutoka kazini uje moja kwa moja................. utanikuta................ ntakupa.................. anza kuondoha nguo ukiingia tu mlangoni haah lol
Ki mpango mkakati! onyesha busara zake watu wapime uvumilivu wako...........Nimekusoma
haina neno mpenzi
asante sana lakini...
ukirudi nyumbani kutoka kazini uje moja kwa moja................. utanikuta................ ntakupa.................. anza kuondoha nguo ukiingia tu mlangoni haah lol
hebu rudi chumbani nisikasirike si umeshachukua ushauri au kuacha?
Nimefurahi sana umekuja maana WISELADY alikuwa anakuulizia sijui kama ameona signature yakoKi mpango mkakati! onyesha busara zake watu wapime uvumilivu wako...........Nimekusoma
afadhali hata mama wa busara yuko hapa..
maana huyu dada yangu mkubwa huyu Dena
yeye anafurahi wakati mimi nateseka na mpenzi wangu..
na siku tukiwa na raha yeye kakasirika hahahah lol
nadhani anataka mimi niwe mdogo wake tu ni kae nyumbani
aniamrishe kumfutia viatu vumbi..
hataki na mimi nimpate anaenipenda
na hana uwivu bali uvumilivu..
TF nakupenda hata Dena aseme nini..
hahahah lol
asentiNimejifunza VALUU
Sasa nina NINALEWA zaidi
Uvumilivu ulikuwa somo la semester nzima........nimepata A+,hivi umenionea hatbreka popote?nataka nijue kama uvumilivu anauweza
naandaa proposal ya kuvumilia kukukosa hapa!finest atakuwa donor
Ki mpango mkakati! onyesha busara zake watu wapime uvumilivu wako...........Nimekusoma
[IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/misc/quote_icon.png[/IMG] Originally Posted by Wise Lady [IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/buttons/viewpost-right.png[/IMG] hivi umenionea hatbreka popote?nataka nijue kama uvumilivu anauweza
Uvumilivu ulikuwa somo la semester nzima........nimepata A+,
Na ni na busara zaidi. Njoo huku tufurahi pamoja.
Tule πopcorn:πopcorn:πopcorn:πopcorn:huku tuki :laugh::laugh: na kila utakapokuwa :sick::sick::sick: mimi nita :couch2::couch2: na :A S-rose::A S-rose: utapata dawa mwanana :mwaaah::mwaaah::mwaaah: sitatumia :majani7:tena. ukipona tutapanda mlimani kuabudu na kushukuru.
Mwmbie akuje pande hii!!Nimefurahi sana umekuja maana WISELADY alikuwa anakuulizia sijui kama ameona signature yako
afadhali hata mama wa busara yuko hapa..
maana huyu dada yangu mkubwa huyu Dena
yeye anafurahi wakati mimi nateseka na mpenzi wangu..
na siku tukiwa na raha yeye kakasirika hahahah lol
nadhani anataka mimi niwe mdogo wake tu ni kae nyumbani
aniamrishe kumfutia viatu vumbi..
hataki na mimi nimpate anaenipenda
na hana uwivu bali uvumilivu..
TF nakupenda hata Dena aseme nini..
hahahah lol
Najua kuna ambao hawataki kuona mimi na wewe tukisonga mbele lakini usijali mpenzi daima tutakuwa milele katika safari hii
Mwambie Wise Lady anatafutwa na Bigirita hapa akuje sasa hiviHa jamani pole basi mdogo wangu
Yaani mie nichukie we kupendwa??? Hiyo si kweli ila acha mapepe kwa kina HC, siuji nani tena nimesahau
Tulia na TF mie ndo namfahamu peke yake
H.
Dont tell me you dont know
Mwambie Wise Lady anatafutwa na Bigirita hapa akuje sasa hivi
wajameni kuna mtu amenionea LONER...?