Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

haina neno mpenzi
asante sana lakini...

ukirudi nyumbani kutoka kazini uje moja kwa moja................. utanikuta................ ntakupa.................. anza kuondoha nguo ukiingia tu mlangoni haah lol
ha ha ha ha!hapa sijaona napita tu

ngoja niiiiii:mvutaji::mvutaji::mvutaji:
 
haina neno mpenzi
asante sana lakini...

ukirudi nyumbani kutoka kazini uje moja kwa moja................. utanikuta................ ntakupa.................. anza kuondoha nguo ukiingia tu mlangoni haah lol

Mmmmhhhh haya bana
 
hebu rudi chumbani nisikasirike si umeshachukua ushauri au kuacha?

afadhali hata mama wa busara yuko hapa..
maana huyu dada yangu mkubwa huyu Dena
yeye anafurahi wakati mimi nateseka na mpenzi wangu..
na siku tukiwa na raha yeye kakasirika hahahah lol

nadhani anataka mimi niwe mdogo wake tu ni kae nyumbani
aniamrishe kumfutia viatu vumbi..
hataki na mimi nimpate anaenipenda
na hana uwivu bali uvumilivu..
TF nakupenda hata Dena aseme nini..
hahahah lol
 
Ki mpango mkakati! onyesha busara zake watu wapime uvumilivu wako...........Nimekusoma
Nimefurahi sana umekuja maana WISELADY alikuwa anakuulizia sijui kama ameona signature yako
 
afadhali hata mama wa busara yuko hapa..
maana huyu dada yangu mkubwa huyu Dena
yeye anafurahi wakati mimi nateseka na mpenzi wangu..
na siku tukiwa na raha yeye kakasirika hahahah lol

nadhani anataka mimi niwe mdogo wake tu ni kae nyumbani
aniamrishe kumfutia viatu vumbi..
hataki na mimi nimpate anaenipenda
na hana uwivu bali uvumilivu..
TF nakupenda hata Dena aseme nini..
hahahah lol

Ha jamani pole basi mdogo wangu

Yaani mie nichukie we kupendwa??? Hiyo si kweli ila acha mapepe kwa kina HC, siuji nani tena nimesahau

Tulia na TF mie ndo namfahamu peke yake
 
hivi umenionea hatbreka popote?nataka nijue kama uvumilivu anauweza
Uvumilivu ulikuwa somo la semester nzima........nimepata A+,
Na ni na busara zaidi. Njoo huku tufurahi pamoja.
Tule 😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:huku tuki :laugh::laugh: na kila utakapokuwa :sick::sick::sick: mimi nita :couch2::couch2: na :A S-rose::A S-rose: utapata dawa mwanana :mwaaah::mwaaah::mwaaah: sitatumia :majani7:tena. ukipona tutapanda mlimani kuabudu na kushukuru.
 
Ki mpango mkakati! onyesha busara zake watu wapime uvumilivu wako...........Nimekusoma
HTML:
[IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/misc/quote_icon.png[/IMG] Originally Posted by Wise Lady [IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/buttons/viewpost-right.png[/IMG]  hivi umenionea hatbreka popote?nataka nijue kama uvumilivu anauweza
 
Karibu kaka, wiselady alikua anakutafuta... ili uchangie mada..

Uvumilivu ulikuwa somo la semester nzima........nimepata A+,
Na ni na busara zaidi. Njoo huku tufurahi pamoja.
Tule 😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:huku tuki :laugh::laugh: na kila utakapokuwa :sick::sick::sick: mimi nita :couch2::couch2: na :A S-rose::A S-rose: utapata dawa mwanana :mwaaah::mwaaah::mwaaah: sitatumia :majani7:tena. ukipona tutapanda mlimani kuabudu na kushukuru.
 
afadhali hata mama wa busara yuko hapa..
maana huyu dada yangu mkubwa huyu Dena
yeye anafurahi wakati mimi nateseka na mpenzi wangu..
na siku tukiwa na raha yeye kakasirika hahahah lol

nadhani anataka mimi niwe mdogo wake tu ni kae nyumbani
aniamrishe kumfutia viatu vumbi..
hataki na mimi nimpate anaenipenda
na hana uwivu bali uvumilivu..
TF nakupenda hata Dena aseme nini..
hahahah lol

Najua kuna ambao hawataki kuona mimi na wewe tukisonga mbele lakini usijali mpenzi daima tutakuwa milele katika safari hii
 
wajameni kuna mtu amenionea LONER...?
 
Ha jamani pole basi mdogo wangu

Yaani mie nichukie we kupendwa??? Hiyo si kweli ila acha mapepe kwa kina HC, siuji nani tena nimesahau

Tulia na TF mie ndo namfahamu peke yake
Mwambie Wise Lady anatafutwa na Bigirita hapa akuje sasa hivi
 
H.

Dont tell me you dont know

mmhh kuna kitu nilimuomba kaninyima.......simtesi ila namtengenezea mazingira ya kunipa.....kuna vingi huvijui....usimtetee H......mimi ndo namfahamu vizuri....anajua makosa yake....kama hataki shida basi anijibu maombi yangu:sad:
 
Back
Top Bottom