Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu

Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu akakupa tabu sana,ila uvumilivu ni
kitu cha busara,kwani inawezekana akakusumbua sana,akukera kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu lakini bado unahitaji kuendelea kuwa naye maana licha ya kukukera ,ila anakupenda kwa dhati. kumbuka kuwa uvumilivu ni nguzo ya pekee ili tuweze kufika mbali katika mahusiano ukizingatia kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha.

Tusiachane jamani embu fikiria utaacha au kuachwa na wangapi kama ukiwa si
mvumilivu,wakati mwingine mtu anaweza akakukera lakini hakukusudia bado anahitaji uwepo wako hivyo ni muhimu kumsaidia kutokana na matatizo aliyonayo huenda kuna siku ataelewa vipi aishi na mwenzie,ingawa inawezekana ikachukua muda mrefu hasa kama atakuwa hapendi kufanyia kazi ushauri wa mwenzake.

UVUMILIVU NI WA MUHIMU KWANI VINGINEVYO HATUTAFIKA NA PIA NI MUHIMU KUYAGUNDUA MAPUNGUFU ULIYONAYO ILI UJIREKEBISHE.


Ni hayo tu.

Umeongea vizuri sana sijui mkaka au mdada??? Hongera
 
Jamani mkinionea Michelle mwambieni nishakoma huku arudi tu tuvumiliane

Nakupendea hilo tu.....niko kwa ajili yako....na nitakuwepo hadi ule wakati wa kuvuli....
 
Kufikia hapo nipo falsafa ya watu sensitive kwenye mambo makubwa makubwa kua incapable kwenye masuala madogo madogo....binafsi nipo strictly sana na naongozwa na kanuni sana kiasi wakati mwingine hua naumia na maamuzi yangu binafsi japo hayana uonevu...huwa siamini ktk bahati mbaya,kosa lolote huwa nafikiria uzembe na kuchukua hatua stahiki kisha huruma inakuja baadae!
 
mmmhhhh, am sorry if i have dissapointed you again...

I think i can keep promises......

just that,yesterday you promised me if i change my avatar you will give me a surprise......i did change it and until now,i have not received any surprise....so since you promised me on public,am demanding it here........

how about surprising you privately.....
 
Nakupendea hilo tu.....niko kwa ajili yako....na nitakuwepo hadi ule wakati wa kuvuli....

Umeona eee.....haya lini utaacha kuvuta nyota ili nami niache kupiga valuu....ili sasa tuvu.....ne
 
Samahani sikujua dada asante kwa kunitaarifu

Hamna neno
karibu sana dear
na samahani kama nimektisha kidogo...



na nimekupa senks yako ya kwanza hahahahah lol
The Following User Says Thank You to Mlimazunzu For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
Back
Top Bottom