NI ushindi mkubwa kwa timu za Tanzania kufungwa CAF

NI ushindi mkubwa kwa timu za Tanzania kufungwa CAF

Huu ni ushahidi tosha kuwa bila sindano hatutoboi
1000015612.jpg
 
Kuna kitu hakipo sawa Yanga tangu mechi ya Azam, sasa hii mechi ya nne mfululizo tumefungwa , wachezaji wote "anao anao" tu ,hawatoi pasi, hawapigi mashuti, hawafungi, wakipiga shuti wanalenga juu au nje, timu haishambulii tulivyozoea!! Au wachezaji wana MGOMO? maana Yanga si timu ya kufungwa kizembe namna hii. Hivi yule demu anaegombaniwa vipi nani kashinda?

Injinia amka sasa, wachezaji wote ni wazito sana kama mawe, hawana kasi yao tena, hawana muunganiko, hawanyumbuliki, wanacheza kama wamelazimishwa, hawaoneshi hasira wakifungwa, ni vizuri Injinia ukitafuta haraka kulikoni tunapigwa kama ngoma na labda pia kukaa chini na Mzee Magoma na yule Mzungu mswahili alietoka Simba!!

Mwambieni kocha Ramovich Maxi Nzengeli huwa hatolewi, na sub za Yanga zinafanyika dakika ya 45 hadi 60 sio dkk ya 75 kwenda mbele huko watu unaoenda kucheza nao washachoka!!

Leo Ramovich alidharau mechi, alipaswa kuchezesha mabeki watatu wa kati Nondo,Baka na Job. Mechi ya marudiano apange hivyo Al Hilal wanatupiga sana kama ngoma.
 
Back
Top Bottom