Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope.
Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa.
Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa.
Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?