Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kweli JF Expert members wote walevi. Wakikukamata utasema umekunywa vitu gani.Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope.
Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa.
Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
Wewe constable tukikukamata hautasimulia kwa maponjoro wenzako.Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope.
Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa.
Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
jeshi ilikuwa zamani sasa hivi mnateswa na polisi kama watoto yatimaWewe constable tukikukamata hautasimulia kwa maponjoro wenzako.
Kabisa.Bora Mgambo