Ni Utamaduni wa CCM Rais wa JMT kuhudumu kwa mihula miwili, hilo halina mjadala!

Ni Utamaduni wa CCM Rais wa JMT kuhudumu kwa mihula miwili, hilo halina mjadala!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kwa mujibu wa utamaduni wa CCM unaoenda sambamba na katiba ya JMT, Rais atahudumu madarakani kwa mihula miwili ya miaka mitana halafu Mitano tena.

Hili halina majadiliano kwa sababu mjadala wake ulishafungwa mwaka 2000 na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM mzee John Samwel Cyigwemisi Malecela wakati hayati Mkapa anachukua fomu ya kugombea urais.

Hii ni awamu ya 6 ndio imeanza hivyo itahudumu hadi 2030.

Maendeleo hayana vyama!
 
Utamaduni wa CCM sio utamaduni wa watanzania.
 
Mama atake asitake atatawala milele inshallah, katiba ibadilishwe kama walivyoshauri kina Deo sanga_ mama aongoze mpaka achoke, hapo itakuwa ni kumuenzi magufuli aswaa
 
Kwa utamaduni huo huo hili la mama samia limewaingia panakohusika.kuna watu walikuwa washaanza kujipa promo sasa samia akimaliza 5 ngom inaendelea tena labda wamtengenezee zengwe maana nawasifu kwa poisoni.

Naomba niishie hapo
 
ahahaha, mbona siwasikii mataga wakiimba kila kiitikio cha mitano tena!
 
Back
Top Bottom