johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Mama bado ana 9!ahahaha,mbona siwasikii mataga wakiimba kila kiitikio cha mitano tena!
Mama bado ana 9!ahahaha,mbona siwasikii mataga wakiimba kila kiitikio cha mitano tena!
Saa hivi wameanza kupata akili wanajikombakomba kwa kumshauri mama salia ili wapate huruma ya uteuziMembe akirudi CCM huyo Nape atabadili msimamo!