johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Alikuwa anafurahisha baraza tu!Kwa Ndugai "ATAKE, ASITAKE" aliitoa chama gani?
Kumbe!Alikuwa anafurahisha baraza tu!
Atamaliza bila shaka yoyote bwashee!Sisi huyu mama lazima amalize vipindi viwili hadi 2030 ili tuendelee na mengine Mama huyu asidhulumiwe haki yake ya kuongoza mihula miwili
Kubwa zaidi si utamaduni wa Mungu, kama wanabisha wakaulize mazezeta ya Meko.Utamaduni wa CCM sio utamaduni wa watanzania.
Utamaduni wa wahamiaji kutoka Ufipa!Atake asitake Magufuli atatawala milele..
Hii ilikuwa utamaduni wa wa wapi?
Nape kasema apewe hadi 2030Mzee Mgaya ansemaje kuhusu jambo hilo?
Membe akirudi CCM huyo Nape atabadili msimamo!Nape kasema apewe hadi 2030