Ni Utamaduni wa CCM Rais wa JMT kuhudumu kwa mihula miwili, hilo halina mjadala!

Ujinga mtupu! Mtawala aliyetabiriwa kutawala milele yuko wapi?
 
Katiba ya TANZANIA inasema nini kuhusu rais aliyempokea ambaye hakumaliza muda wake???? Nadhani kuna conditions!!Nimesoma mahali. Mama atapata zaidi ya miak minne! Kwa hiyo according to katiba yetu hawezi kuendelea!!
Anaweza tu kuendelea iwapo kama angemaliza miaka isiyozidi minne!! Naomba tusome katiba na mimi pia nitaisoma tena nijiridhishe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…