Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Aisee nilikuwa naongea na mzungu via video call tena kila siku hata watoto walikuwa wanaongea nae ile mambHao ni Matapeli wanakuwaga wapo Mikocheni tu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nilikuwa naongea na mzungu via video call tena kila siku hata watoto walikuwa wanaongea nae ile mambHao ni Matapeli wanakuwaga wapo Mikocheni tu hapo
Ong'wise hapa duniani hakuna cha bure na wapo ambao huwa wanaokotwa na kupigwa vipigo vya mbwa MwiziAisee nilikuwa naongea na mzungu via video call tena kila siku hata watoto walikuwa wanaongea nae ile mamb
Yahoo boys ,advance fee scams. matapeli hao . kwanini asikutumie tanzaniaKisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu ya iPhone 16.
Yeye anaishi London uingereza na siku aliyotuma mzigo alisema kuwa amekosa ndege inayokuja moja kwa moja Tanzania hivyo akatuma kwenye ndege inayoishia Kenya maana walimwambia kuwa mzigo ukifika wanaweza kufanya delivery uwanja wa ndege ulio karibu (hapahapa East Africa).
Basi bwana yule mzungu akatuma mzigo na akanitumia picha ya mzigo pamoja na risiti na zote Zina majina yangu maana aliniambia nimtumie majina yote matatu na namba ya simu, na akaniambia mzigo utafika Nairobi baada ya masaa 9 na akanisisitiza kuwa niwe Makini na muda kwani mzigo ukishafika watanijulisha na kweli baada ya masaa Tisa (mzigo aliutuma saa 2 usiku saa 11 ukawa umefika Jomo Kenyatta Airport Kenya).
Wale jamaa wa airport wakanipigia wakaniambia kuwa Kuna mzigo wangu wameupokea kutokea uingereza na umeshalipiwa Kila kitu ni Mimi kwenda na kitambulisho Changu tu nikauchukue.
Nikawaambia Mimi sipo Kenya nipo Tanzania Kama wanaweza kuutuma wautume. Kwa sehemu niliyowaambia wakasema inagharimu shilingi 125,000 ili mzigo ufike uwanja wa ndege niliopo.
Wamenionesha na picha ya mzigo kabisa ndio ule uliotumwa Kule uingereza. Sasa najiuliza hii kitu imekaaje? Maana wao wanasema mzungu kalipia mzigo mpaka pale ulipofikia Ila hizo gharama za kuja huku Tanzania ni gharama nyingine kwakuwa mzigo unatakiwa kukatiwa ticket na hiyo ni gharama ya ticket.
Na njia ya malipo wamesema naweza kutumia mpesa au Tigo pesa. Ndo najiuliza hapa nitumie au nakaribia kutapeliwa? Maana Sina uzoefu na upokeaji wa mizigo iliyotumwa kutokea nje ya nchi.
Nawasilisha wakuu. Naombeni ushauri wenu.
Hahaaa ad hapo umeliwaa, umepigiwa kitu kizito hujiulz Kwann ndege za tz zisiwepo na Kwann utume ela ya kusafirishia, in short hyo tapel ameadvanc kdgKisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu ya iPhone 16.
Yeye anaishi London uingereza na siku aliyotuma mzigo alisema kuwa amekosa ndege inayokuja moja kwa moja Tanzania hivyo akatuma kwenye ndege inayoishia Kenya maana walimwambia kuwa mzigo ukifika wanaweza kufanya delivery uwanja wa ndege ulio karibu (hapahapa East Africa).
Basi bwana yule mzungu akatuma mzigo na akanitumia picha ya mzigo pamoja na risiti na zote Zina majina yangu maana aliniambia nimtumie majina yote matatu na namba ya simu, na akaniambia mzigo utafika Nairobi baada ya masaa 9 na akanisisitiza kuwa niwe Makini na muda kwani mzigo ukishafika watanijulisha na kweli baada ya masaa Tisa (mzigo aliutuma saa 2 usiku saa 11 ukawa umefika Jomo Kenyatta Airport Kenya).
Wale jamaa wa airport wakanipigia wakaniambia kuwa Kuna mzigo wangu wameupokea kutokea uingereza na umeshalipiwa Kila kitu ni Mimi kwenda na kitambulisho Changu tu nikauchukue.
Nikawaambia Mimi sipo Kenya nipo Tanzania Kama wanaweza kuutuma wautume. Kwa sehemu niliyowaambia wakasema inagharimu shilingi 125,000 ili mzigo ufike uwanja wa ndege niliopo.
Wamenionesha na picha ya mzigo kabisa ndio ule uliotumwa Kule uingereza. Sasa najiuliza hii kitu imekaaje? Maana wao wanasema mzungu kalipia mzigo mpaka pale ulipofikia Ila hizo gharama za kuja huku Tanzania ni gharama nyingine kwakuwa mzigo unatakiwa kukatiwa ticket na hiyo ni gharama ya ticket.
Na njia ya malipo wamesema naweza kutumia mpesa au Tigo pesa. Ndo najiuliza hapa nitumie au nakaribia kutapeliwa? Maana Sina uzoefu na upokeaji wa mizigo iliyotumwa kutokea nje ya nchi.
Nawasilisha wakuu. Naombeni ushauri wenu.
uhakikaOng'wise hapa duniani hakuna cha bure na wapo ambao huwa wanaokotwa na kupigwa vipigo vya mbwa Mwizi
Mbona kama Hiki kisa kilishawai letwa hapa JF.... Ushauri ulikuwa hivi hao ni matapeli kama matapeli wengine kaa chonjo ukituma Hela hio ndoo imeendaKisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu ya iPhone 16.
Yeye anaishi London uingereza na siku aliyotuma mzigo alisema kuwa amekosa ndege inayokuja moja kwa moja Tanzania hivyo akatuma kwenye ndege inayoishia Kenya maana walimwambia kuwa mzigo ukifika wanaweza kufanya delivery uwanja wa ndege ulio karibu (hapahapa East Africa).
Basi bwana yule mzungu akatuma mzigo na akanitumia picha ya mzigo pamoja na risiti na zote Zina majina yangu maana aliniambia nimtumie majina yote matatu na namba ya simu, na akaniambia mzigo utafika Nairobi baada ya masaa 9 na akanisisitiza kuwa niwe Makini na muda kwani mzigo ukishafika watanijulisha na kweli baada ya masaa Tisa (mzigo aliutuma saa 2 usiku saa 11 ukawa umefika Jomo Kenyatta Airport Kenya).
Wale jamaa wa airport wakanipigia wakaniambia kuwa Kuna mzigo wangu wameupokea kutokea uingereza na umeshalipiwa Kila kitu ni Mimi kwenda na kitambulisho Changu tu nikauchukue.
Nikawaambia Mimi sipo Kenya nipo Tanzania Kama wanaweza kuutuma wautume. Kwa sehemu niliyowaambia wakasema inagharimu shilingi 125,000 ili mzigo ufike uwanja wa ndege niliopo.
Wamenionesha na picha ya mzigo kabisa ndio ule uliotumwa Kule uingereza. Sasa najiuliza hii kitu imekaaje? Maana wao wanasema mzungu kalipia mzigo mpaka pale ulipofikia Ila hizo gharama za kuja huku Tanzania ni gharama nyingine kwakuwa mzigo unatakiwa kukatiwa ticket na hiyo ni gharama ya ticket.
Na njia ya malipo wamesema naweza kutumia mpesa au Tigo pesa. Ndo najiuliza hapa nitumie au nakaribia kutapeliwa? Maana Sina uzoefu na upokeaji wa mizigo iliyotumwa kutokea nje ya nchi.
Nawasilisha wakuu. Naombeni ushauri wenu.
Alafu unaweza kuta sio mzungu ni waafrika hawa hawa wanajua kuna Mtu ataingia kingiMkuu Nina ushuhuda mtu wa kupigwa Kwa style hio akabaki na den la laki nane na nusu,pia mm mwaka Jana akaja mzungu mmoja Kwa gear iyo iyo nikawa achia mzigo wao hapo Kenya 😂😂 sitakag ujinga mm Yan nimeona mtu kapigwa Kwa mfumo huo na mm Tena nijichanganye,Aya juzi Tena kuna mzungu kanichek FB anasema katokea Canada yupo mwanza ila ajabu anataka nitumie pesa kwenye card yake sijui na nn nikampotezea mazima,hawa rangi nyeupe siku izi nao wekua wakina Mr kasongo 😂😂😂😂