MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Ndege, Meli, Computer, Internet, Setilaiti, Drones, AI na mengineyo bila UMEME/ENERGY ya kusuka/kuendesha na kusimamia mwendelezo wa vumbuzi hizo ni mbwembwe tu.As salaam alaykum.
Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata AI ikasome.
Vipi wewe teknolojia ipi inakushangaza?
Kompyuta na SimuAs salaam alaykum.
Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata AI ikasome.
Vipi wewe teknolojia ipi inakushangaza?
Chanzo ni utawala wa waislamu ndio maana Africa ikafelikwangu tairi ndiyo iliyokuwa game changer ukiangalia afrika huku kwetu chini ya jangwa la sahara hatukuwahi kuwa na matairi ingawaje waengi ni ngumumkuamini lkn hiyo ni moja kati ya sababu kwa nini tulishindwa kuendelea, hatukuwa na matairi, fikiria tu kidogo jinsi tairili lilivyorahisisha maisha lkn hatukuwa na tairi ...
Tofautisha kati ya uzwazwa na teknolojia mkuuLa mwanamke kuombewa mimba ikarudi na mwamposa je?
Ndio mambo yetu pua pana bwasheeTofautisha kati ya uzwazwa na teknolojia mkuu
Huwez kuzuia teknolojia kukua mkuu, muhimu ni kujiandaa kuishi nayodunia itaendelea kupiga atua kubwa sana kwenye suala la teknorojia lakini iyo teknorojia itakuja kuleta mahafa makubwa sana kwa miaka ya baadae kwa kua binadamu atatengeneza vitu ambavyo atashindwa kuvitawala na ivo vitu sasa vitaitaji kumtawala binadamu ila tukiachana na yote kwa yote sisi zetu ni dua tu
Yeah kompyuta pia ni kisangaKompyuta na Simu
Hicho wala siyo chanzo.Chanzo ni utawala wa waislamu ndio maana Africa ikafeli
😅 hilo jamaa ndio Zake leo naona kameza dawaA wala siyo chanzo.
Afrika hata bila hizo dini hakuna kitu tunaweza tupo tupo tu tunangoja kufa,fikiria tupo 21 century ila bado kuna watu wana ukiritimba wa kutaka kuongoza watu kwa mabavu kinakera zaidi hawana vision yoyote ya uongozi.
Kipindi kile cha utoto tunasoma wakati watu walikuwa wanaruhusiwa kwenda pale Airport ya Dar terminal two kuingia ndani na kuangalia ndege ,kuna siku tukaikuta Boeing fulani likubwa sana,mshkaji wangu akaniambia hii haiwezi kupaa ni ya maonyesho tuu tukabishana sana pale tukabaki pale siku nzima mpaka ipae ndio tuondoke,jamaa hakuamini ukubwa wote ule chuma imetokomea hewani mpaka hapo akawanyoshea mikono wazungu.Eeh mkuu ndege ni kitu cha ajabu kwelikweli, kila nikiona hiyo ndege inapaa na kutua vizuri namshangaa mtu aliyebuni hilo. Hata hizo robot za AI nazo ni ngoma, lakini ndege ndio king. kweli
Duh Mangi naona unataka kuharibu huu uzi mzuri.Chanzo ni utawala wa waislamu ndio maana Africa ikafeli
HahahaDuh Mangi naona unataka kuharibu huu uzi mzuri.