Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Kinachonishangaza ni mobile money, yaani unabonyeza namba tu kwenye kitochi chako, hela inasafiri hewani hadi kijijini bila waya wala mabawa, Aloo!
kupaa ndege ni technologia ndogo na rahisi tu, kwa kweli mambo ya kushangaza mno ni AI kama unaitumia kufanya mambo makubwa basi utashangaa sana kwa kweli wanadamu sijui tunaelekea wapi!As salaam alaykum.
Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata AI ikasome.
Vipi wewe teknolojia ipi inakushangaza?
Chanzo ni utawala wa waislamu ndio maana Africa ikafeli
AI ni more complex kuliko ndege ,ni vile watu hawajui hili, AI mpaka umeweza kuitumia ni maelfu ya data/energy zimetumika/zinatumika kurun the programmed intelligence ya kutambua mambo mbalimbali, hata hiyo ndege yenyewe inaundwa na parts nyingi tu endeshi kutoka ktk mifumo ya AI.As salaam alaykum.
Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata AI ikasome.
Vipi wewe teknolojia ipi inakushangaza?
Hawajiulizi hawa ukubwa wa AI. Hii ni tech ambayo watu wengi miaka ya nyuma walipredict ujio wa akili bandia na waliiogopa kwa maajabu yake wakidhani itakuwa nadharia tu au mambo ya kusadikika au miujiza fulani na baadhi wakipiga vita sababu ya uwezo wake kulinganisha na tech zingine.kupaa ndege ni technologia ndogo na rahisi tu, kwa kweli mambo ya kushangaza mno ni AI kama unaitumia kufanya mambo makubwa basi utashangaa sana kwa kweli wanadamu sijui tunaelekea wapi!