Ni uzalendo kufichua ufisadi na mafisadi ndani ya serikali.

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Sabato njema!

Ni jukumu la wazalendo mahala popote walipo iwe ni watumishi wa serikali, viongozi wa serikali au raia wa kawaida.
Jukumu namba moja la mzalendo ni kulinda nchi yake. Kulinda maslahi ya watanzania. Kufichua ufisadi na mafisadi ni sehenu ya kulinda Nchi na kulinda Maslahi ya Watanzania.

Kufichua mafisadi au ufisadi sio sehemu ya kutoa siri za serikali. Ufisadi ni uhalifu.

Serikali na viongozi wakuu wa nchi akiwemo Rais anajukumu la kuwapongeza watanzania wanaofichua ufisadi na mafisadi na uhalifu mwingine.

Baada ya kusema hayo, niwatakia ulinzi wa nguvu za Mungu Mkuu, Mungu wa Majeshi.

Taikon Master
Kwa Sasa, Mwenge SDA Church, Dar es salaam
 
jambazi hawezi kumnyooshea kidole mwizi na mwizi hawezi kumkanya kibaka hapo hapo kibaka ana marafiki wadokozi.
 
Tangu mwanzo tulisema akuna mtu CHURA ni mweupe MNO kichwani. Yy kakumbatiwa na wezi na mafisadi. Pia hawezi kuwajibisha wezi hao kwakua alikula nao. Ndio maana anawatetea.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Sabato njema!

Ni jukumu la wazalendo mahala popote walipo iwe ni watumishi wa serikali, viongozi wa serikali au raia wa kawaida.
Jukumu namba moja la mzalendo ni kulinda nchi yake. Kulinda maslahi ya watanzania. Kufichua ufisadi na mafisadi ni sehenu ya kulinda Nchi na kulinda Maslahi ya Watanzania.

Kufichua mafisadi au ufisadi sio sehemu ya kutoa siri za serikali. Ufisadi ni uhalifu.

Serikali na viongozi wakuu wa nchi akiwemo Rais anajukumu la kuwapongeza watanzania wanaofichua ufisadi na mafisadi na uhalifu mwingine.

Baada ya kusema hayo, niwatakia ulinzi wa nguvu za Mungu Mkuu, Mungu wa Majeshi.

Taikon Master
Kwa Sasa, Mwenge SDA Church, Dar es salaam
What if rais ni sehemu ya huo ufisadi? Anawezaje kuwapongeza watu wanaohatarisha ufisadi wake?
 
Tangu mwanzo tulisema akuna mtu CHURA ni mweupe MNO kichwani. Yy kakumbatiwa na wezi na mafisadi. Pia hawezi kuwajibisha wezi hao kwakua alikula nao. Ndio maana anawatetea.
Kazi ni kipimo cha utu

Kufichua ufisadi ndio uzalendo wenyewe
 
Back
Top Bottom