Vita vya Congo ni mbaya sana, watu hasa wanawake na watoto wanateseka mno.
View attachment 3220403
View attachment 3220404
Umesahau operation tokomeza na operation Kimbunga kule Komoro mpaka bunge likaingilia kati unyama uliokua unafanywa na dola la Katika kupambana na wahalifu waliojificha katikakati ya makazi ya watu au kule gaza jinsi majeshi ya Israel yanavyo0ambana na magaidi katikati ya makazi ya watu.
Lakini pia umiwahi kuona kule Danganyika jinsi wapinzani wanavyopigwa mabomu na risasi wanapoandamana kupinga utekaji ,mauaji , ufisadi na dhulma na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ! Je ,bado tu hujaamini kuwa seikali iliwatendea haki wanadamu kamwe haiwezekani pakawa na ugaidi wala uasi . Mwasisi wa uasi na ugaidi hua ni serikali zilizoshindwa kuleta maendeleo .
Hivi kwa mfano Tanzania CCM na serikali yake ni mara ngapi imekataa kupeleka hata maji na umeme maeneo yenye wapinzani ? Sasa ni vipi ulaumu matokeo ya dhulma ya serikali kwa walipa kodi kabla ya kuanzia kwenye chanzo cha matatizo yanayotokea ?
Serikali inapoanza kuleta propaganda za ukabila ,Udini na ukanda inakua ndiyo chanzo cha uasi . Matokeo yake ni watoto na wanawake wanaoteseka lakini pia wanaume wanapoteza maisha kabisa.
Pale KIA ya Komoro kuna wanawake na watoto walikosa pa kulala baada ya makazi yao kubomolewa na serikali .
Kule Serengeti kuna nyumba zilichomwa moto na serikali ya CCN bila kujali watoto na wanawake watateseka.
Kule Kimara ya Bangladeshi kuna Nyumba zilivunjwa na serikali ya CCJ bila kujali mateso ya watoto na wanawake . Bahati nzuri watu wa nchi hiyo ni waumini wa imani ya uvumilivu . Lakini chanzo cha vurugu kingekua ni serikali ya CCW.
Au tujiulize inakuaje Silaha zinapita kwenye Bandari ya Anzuani anayomilikiwa na DW kwa sasa na kupita Rwanda na kuwafikia waasi ?
Kwa nini binadamu tu wanaoitwa wasomali na waethiopia wanakamatwa wakipita kwenye nchi ya Komoro lakini Silaha hazikamatwi . Je, hayo sio madili ya serikali katika udhalimu wake dhidi ya binadamu . Yaani binadamu kupita kwenye nchi fulani ni haramu lakini silaha ni halali kupita na kwenda kuua binadamu .
Seikali nyingi za kidunia zinatawaliwa na watu wenye hulka za kijini na kishetani matokeo yake ni umwgaji mkubwa wa damu .
Trump ndiye Rais pekee aliyeamua kuachana na ushetani na kurudi kwa Mungu .