Ni uzalendo uchwara kulazimisha kila Mtanzania kumchukia Kagame

Ni uzalendo uchwara kulazimisha kila Mtanzania kumchukia Kagame

Actually mm nilikua nisuelewi Kagame. Lakini siku nika dig deeper kufuatilia historia yake, pamoja na misimamo yake jamaa ana kitu ambacho viongozi wengi wa Africa hawana ni kama kiongozi ambae alitakiwa awe ulaya akaangukia ardhi ya Africa hapindishagi.
Na kuhusu hayo makundi Kagame is not all to blame kuna parties nyingi sana zinahusika nyuma ya pazia ambazo watu wengi wasiofatilia kiundani wataishia kumnyooshea vidole.
Ninafsi kagame namkubali sana. Hana ushenzi wa kiafrika afrika. Anelewa dunia inaendaje. Shida ipo Kongo ambapo rasilimali watu hakuna. Ni wengi ila hamna watu pale.
 
Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama vile ni wasaliti wa nchi. Hii sio sawa, hakuna mwenye hatimiliki ya uzalendo.

Kama wewe unamchukia Kagame kwa kuamini yeye ndiye chanzo cha matatizo yote ya Congo wapo wengine pia wenye mawazo tofauti na hayo.

Wapo wengine wanaofikiri ameifanya Rwanda kuwa nchi nzuri kwa mambo wanayoyapenda wao na kuyapa kipaumbele. Mtanzania kumkubali Kagame isihesabiwe ni usaliti kwa nchi yake au kukosa uzalendo.
Unaitwa YODA. Nadhani Jina lako halisi ni YUDA na jina hili kulingana na maandiko ya kwenye biblia jina hili ni la mtu mmoja msaliti.
Kwahiyo hatushangai usaliti wako kwa nchi yako!
 
Back
Top Bottom