Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Ni tahira tu ambaye atamsifu mtu muovu kisa.Maendeleo ambayo ni tuvibarabara na tu jengo tuwili tutatu hapo mjini ila haiondoi ukweli hicho kinchi bado sana kwenye maendeleo.Mtu muuaji hana maana yoyote, eti ooh huyu mtu namuona ana kitu ambacho viongozi wengine wa Afrika hawana! Kitu gani zaidi ya roho mbaya, ubinafsi na uuaji labda hivyo ndiyo vitu anavyo.
Mtu gani anaua yeyote anayehisi anataka madaraka yake!,awe wa chama chake au mpinzani yeye uwa tu!
Vita vya Congo ni mbaya sana, watu hasa wanawake na watoto wanateseka mno.
View attachment 3220403
View attachment 3220404
Mtu muuaji hana maana yoyote, eti ooh huyu mtu namuona ana kitu ambacho viongozi wengine wa Afrika hawana! Kitu gani zaidi ya roho mbaya, ubinafsi na uuaji labda hivyo ndiyo vitu anavyo.
Mtu gani anaua yeyote anayehisi anataka madaraka yake!,awe wa chama chake au mpinzani yeye uwa tu!
TUPATE TRUMP WA TZ AFANYE DEPORTATION YA WAHAMIAJI HARAMU.SIKU HAYO MADINI YANAISHA UGANDA NA RWANDA WATALIA SANA.MAANA NDIO SMUGGLERS WAKUBWA WA HAYO MADINI YA KIVU.
HAYO MAENDELEO YA HICHO KINCHI AMBACHO NI SAWA NA MOROGORO. MAENDELEO KWA MGONGO WA BIASHARA HARAMU ZA UTOROSHAJI MADINI NA VITA HAYO NI MAENDELEO HARAMU.
📌📌HARAMU ITABAKI HARAMU HATA KAMA INASURA AU HARUFU NZURI.HUWEZI KUTETEA WAUWAJI KISA MAENDELEO UCHWARA.
Piece of s***t🎁Earn $200.00 in just two hours🎁
Pinda nhenagula invites you to earn money together! No investment required, everyone can withdraw money!
ð¥ð¥Easy withdrawal without investment
Ermias Atto invites you to make money and get rich together, this is real and credible.www.freebhqstar.top
Hizo silaha zinapita bandari ipi mpaka zinafika kwa waasi? Lakini pia huo mgodi unaoweza kuchimbwa wakati kuna mabomu ya madege ya serikali ,UN na Nchi nyingine shughuli zake zinafanyikaje mkuu.?
Yaani pale Mireni inawezekanaje vijana wakaingia kwenye mashimo kuchimba madini wakati kuna vita .Tena vijana wenyewe ni wawe ni wa wapinzani wasio na ulinzi ? Dununia hii watawala wanapoingia madarakani mara nyingi wanatumia media kufuta historia za wengine wanaoona ni tushio kwao au wanafunika historia zao .
UN wako ple kwa ajili ya kulinda Wawekezaji wa Madini wenye asili ya kizungu ili wasivamiwe na Wenyeji wanaoishi maisha magumu katikati ya utajiri wa madini .
Kwa hiyo wabaopora madini kwa msaada wa UN na serikali ni Wazungu sio Rwanda . Kwa Taarifa yako wanaotoa silaha ni UN na wale wawekezaji wazungu ndio maana wakiwaua wazungu ndio unakua mwisho wa waasi kwa sababu hawataletewa silaha tena . Na silaha zinapita zikiwa kama mali ya UN.
Kagame hahusiki bali anawapa hifadhi kama yeye alivyokua amepewa hifadhi miaka hiyo
Hii ndio kazi ya mswahili.Kwa nini CCM haitaki kutoka madarakani??
Ingekuwa inawezekana, JK angerudi tena madarakani kutuvusha tena wakati huu.
Nyie Wanyarwanda jiandaeni, soon nyote tunawarudisha kwenu Rwanda.Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama vile ni wasaliti wa nchi. Hii sio sawa, hakuna mwenye hatimiliki ya uzalendo.
Kama wewe unamchukia Kagame kwa kuamini yeye ndiye chanzo cha matatizo yote ya Congo wapo wengine pia wenye mawazo tofauti na hayo.
Wapo wengine wanaofikiri ameifanya Rwanda kuwa nchi nzuri kwa mambo wanayoyapenda wao na kuyapa kipaumbele. Mtanzania kumkubali Kagame isihesabiwe ni usaliti kwa nchi yake au kukosa uzalendo.
Wewe una mental problem, pole.Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama vile ni wasaliti wa nchi. Hii sio sawa, hakuna mwenye hatimiliki ya uzalendo.
Kama wewe unamchukia Kagame kwa kuamini yeye ndiye chanzo cha matatizo yote ya Congo wapo wengine pia wenye mawazo tofauti na hayo.
Wapo wengine wanaofikiri ameifanya Rwanda kuwa nchi nzuri kwa mambo wanayoyapenda wao na kuyapa kipaumbele. Mtanzania kumkubali Kagame isihesabiwe ni usaliti kwa nchi yake au kukosa uzalendo.
Rwanda nchi landlocked yenye ukubwa sawa na mkoa mmoja wa Tanzania ina GDP ya $bilioni 15, Kigali ndio mji msafi na salama zaidi barani Africa, RwandaAir ni kati ya mashirika bora matano barani Africa. Haya yote yamefanyika ndani ya miaka 30 tu.Mtu muuaji hana maana yoyote, eti ooh huyu mtu namuona ana kitu ambacho viongozi wengine wa Afrika hawana! Kitu gani zaidi ya roho mbaya, ubinafsi na uuaji labda hivyo ndiyo vitu anavyo.
Mtu gani anaua yeyote anayehisi anataka madaraka yake!,awe wa chama chake au mpinzani yeye uwa tu!
📌Kwahiyo wewe mzee wa PROPAGANDA ebu tweleze; Rwanda anamasilahi gani n hao WALOWEZI kiasi cha kuwasha mpaka AIR DEFENCE SYSTEM na kuhatarisha mahusiano na majirani zake na hata South Africa.Hizo silaha zinapita bandari ipi mpaka zinafika kwa waasi? Lakini pia huo mgodi unaoweza kuchimbwa wakati kuna mabomu ya madege ya serikali ,UN na Nchi nyingine shughuli zake zinafanyikaje mkuu.?
Yaani pale Mireni inawezekanaje vijana wakaingia kwenye mashimo kuchimba madini wakati kuna vita .Tena vijana wenyewe ni wawe ni wa wapinzani wasio na ulinzi ? Dununia hii watawala wanapoingia madarakani mara nyingi wanatumia media kufuta historia za wengine wanaoona ni tushio kwao au wanafunika historia zao .
UN wako ple kwa ajili ya kulinda Wawekezaji wa Madini wenye asili ya kizungu ili wasivamiwe na Wenyeji wanaoishi maisha magumu katikati ya utajiri wa madini .
Kwa hiyo wabaopora madini kwa msaada wa UN na serikali ni Wazungu sio Rwanda . Kwa Taarifa yako wanaotoa silaha ni UN na wale wawekezaji wazungu ndio maana wakiwaua wazungu ndio unakua mwisho wa waasi kwa sababu hawataletewa silaha tena . Na silaha zinapita zikiwa kama mali ya UN.
Kagame hahusiki bali anawapa hifadhi kama yeye alivyokua amepewa hifadhi miaka hiyo
Kwahiyo hilo ndiyo linahalalisha mtu kuwa katili dhidi ya binadamu wenzake kwa kuua watu ovyo,kusababisha vurugu kwenye nchi nyingine na kupora maliasili za nchi hizo? Mtu unaweza kufanya yote hayo na siku moja unakufa wanakuja wengine wanavuruga kila kitu sasa hiyo itakusaidia nini zaidi ya kwenda kupata adhabu kali kwa mola wako kwa ukatili ulioufanya wakati wa uhai wako(kama unaamini uwepo wa Mungu)!Rwanda nchi landlocked yenye ukubwa sawa na mkoa mmoja wa Tanzania ina GDP ya $bilioni 15, Kigali ndio mji msafi na salama zaidi barani Africa, RwandaAir ni kati ya mashirika bora matano barani Africa. Haya yote yamefanyika ndani ya miaka 30 tu.
Rudi kwenu Rwanda...mkuuKumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama vile ni wasaliti wa nchi. Hii sio sawa, hakuna mwenye hatimiliki ya uzalendo.
Kama wewe unamchukia Kagame kwa kuamini yeye ndiye chanzo cha matatizo yote ya Congo wapo wengine pia wenye mawazo tofauti na hayo.
Wapo wengine wanaofikiri ameifanya Rwanda kuwa nchi nzuri kwa mambo wanayoyapenda wao na kuyapa kipaumbele. Mtanzania kumkubali Kagame isihesabiwe ni usaliti kwa nchi yake au kukosa uzalendo.
Kagame hana Ubaya wowote na Tanzania !Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama vile ni wasaliti wa nchi. Hii sio sawa, hakuna mwenye hatimiliki ya uzalendo.