Ni uzee umepiga hodi au nimerogwa wakuu?

Za saizi wakurugenzi?
Nimesononeka sana usiku wa leo,yani kuna pisi kali nilikua nimeipanga jana ikaingia kwenye mfumo,cha ajabu usiku kucha nimeishia kupiga viwili tu.
Ni uzee au ndo nimerogwa?
Oh hilo ndio limekuleta hapa basi siku unagongewa mke uje pia kutuulizia hapa maoni yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…