Ni Vema Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita Wangekamatwa

Katika hali ya kawaida, tungebahatika kuwa na utawala/uongozi unaojali haki za msingi za raia na sheria za nchi, hawa walistahili kukamatwa na kuhojiwa juu ya uhusika wao katika utekaji, upotezwaji na mauaji ya watu. Kama walihusika wafikishwe mahakamani, kama hawakuhusika, basi wapate kutakaswa.
 
Majina haya manne yanatajwa tajwa sana kuhusiana na matukio ya utekaji, upotezwaji na hata mauaji ya watu mbalimbali.
 
Wahanga mbalimbali wa matukio ya utekaji, wameweza kuwatambua hawa watu kama miongoni mwa watesi wao. Kwa nini wasikamatwe na kuchunguzwa?
 
Kama uhai na utu wa mwanadamu una thamani Tanzania, ni vema hawa watu wanne, Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita, wangekamatwa kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi wa kijanai kuhusiana na mazingira yanayowazunguka kuhusu kuwatesa watu, kuwateka, kuwapoteza na hata mauaji.

Bado wanatumika kutesa,kuteka na kuwabambikia Watanzania wenzao kesi pia kuendesha mashauri ya kubumba.Mtesi anawatumia na baadaye atawapoteza pindi wakikamilisha kazi yake.
 
Watz wengi sana wameuliwa bila hatia kwa kuhisiwa kuwa ni kigogo huku kigogo halisi still akitamba,jiwe katumia zaidi ya bilioni moja kodi kumsaka kigogo.
Wengi wameuliwa kibiti kwa kuvaa tu kanzu,au watu wa ibada Sana pasipo hatia kwa kuhisiwa ni magaidi.

Ukidhulumu damu ya mtu asiye hatia umewasha bluetooth on maisha yako yote yatakuwa hatarini.
 
Wahanga mbalimbali wa matukio ya utekaji, wameweza kuwatambua hawa watu kama miongoni mwa watesi wao. Kwa nini wasikamatwe na kuchunguzwa?
Walitii maagizo so maagizo yanawalinda.
Hakuna lililo Siri lisiwe peupe.
Kuna ulimwengu usioonekana wao uona KILA kitu wao ndio uwapa Siri walimwengu wanaoonekana nani kafanya tukio lile hii ukamilisha msemo Hakuna Siri duniani.
 
Ila jamaa wanakula bata sana. Inamaana hawa ndio wenye ujuzi na nguvu sana ndani ya jeshi la polisi? naona operesheni nyingi wanapewa wao tu.

Basi watamuwa na mafunzo murua na imara sana mithiri ya CIA
Wanafanya kishamba na kizamani hadi wamejulikana. Siku hizi wanaishi kwa hofu Kama digidigi.
 
Waovu ndivyo walivyo. Maneno, matendo na mwonekano wao huficha ushetani uliomo ndani yao.
Waovu ujifichia kwenye ibada.
Kapilimba ana kanisa kabisa lakini still aliruhusu wasiojulikana kutamba
 
Kama uhai na utu wa mwanadamu una thamani Tanzania, ni vema hawa watu wanne, Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita, wangekamatwa kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi wa kijanai kuhusiana na mazingira yanayowazunguka kuhusu kuwatesa watu, kuwateka, kuwapoteza na hata mauaji.

Majina haya manne yanatajwa tajwa sana kuhusiana na matukio ya utekaji, upotezwaji na hata mauaji ya watu mbalimbali.

Katika hali ya kawaida, tungebahatika kuwa na utawala/uongozi unaojali haki za msingi za raia na sheria za nchi, hawa walistahili kukamatwa na kuhojiwa juu ya uhusika wao katika utekaji, upotezwaji na mauaji ya watu. Kama walihusika wafikishwe mahakamani, kama hawakuhusika, basi wapate kutakaswa.

Wahanga mbalimbali wa matukio ya utekaji, wameweza kuwatambua hawa watu kama miongoni mwa watesi wao. Kwa nini wasikamatwe na kuchunguzwa?
Ndiyo. Mda utasema. Lisemwalo lipo na linakuja.
 
Kwa hiyo Giningi ya sasa ikiamua ku eliminate watu, watamtumia nani? Au wameokoka
 
Kama uhai na utu wa mwanadamu una thamani Tanzania, ni vema hawa watu wanne, Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita, wangekamatwa kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi wa kijanai kuhusiana na mazingira yanayowazunguka kuhusu kuwatesa watu, kuwateka, kuwapoteza na hata mauaji.

Majina haya manne yanatajwa tajwa sana kuhusiana na matukio ya utekaji, upotezwaji na hata mauaji ya watu mbalimbali.

Katika hali ya kawaida, tungebahatika kuwa na utawala/uongozi unaojali haki za msingi za raia na sheria za nchi, hawa walistahili kukamatwa na kuhojiwa juu ya uhusika wao katika utekaji, upotezwaji na mauaji ya watu. Kama walihusika wafikishwe mahakamani, kama hawakuhusika, basi wapate kutakaswa.

Wahanga mbalimbali wa matukio ya utekaji, wameweza kuwatambua hawa watu kama miongoni mwa watesi wao. Kwa nini wasikamatwe na kuchunguzwa?
Wenye mamlaka walichukue hili walifanyie kazi
 
Kuua mtu ni upumbavu mkubwa,unaua mtu hali nawe ni marehemu mtarajiwa
 
At least ndugu za marehemu washawajua waliowafanya yatima na wajane.
 
Back
Top Bottom