Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwanza majimbo yapunguzwe yabaki sawa na idadi ya Wilaya 123Kuna viongozi wangapi kwenye hayo maeneo uliyoyataja wanaoongoza? Kwahy hao wameshindwa kuyaendeleza kwahy tulete viongozi mara mbili zaidi ya hao ndio patakuwa na maendeleo.
Hakuna la maana, viongozi wamejaa mpk ngapi ya mtaa unataka mbunge afike kila kaya? utadhani mbunge ndiyo anakusanya kodiMajimbo yakigawanywa maana yake pia idadi ya wabunge itaongezeka.
Swali la kujiuliza, je wabunge wakiongezeka kutaleta maendeleo chanya kwa majimbo husika au ndio tutaongeza idadi ya watu wa kusinzia ktk vikao vya bunge kwa kigezo cha kutuwakilisha huku wakizitafuna mil18 za mishahara pamoja na malupulupu kila mwezi?
Haipo hata ya kusingiziwaTume gani huru mnayo Tanzania?
Nyerere hakuwa visionary alijikita kuwaiga wazungu kila kitu.Kwanza majimbo yapunguzwe yabaki sawa na idadi ya Wilaya 123
Ukweli pale hakuna bunge lile ni kusanyiko la shetani kabisaNyerere hakuwa visionary alijikita kuwaiga wazungu kila kitu.
Wabunge walibidi wasiwepo kabisa maana Mimi sioni faida yao zaidi ya kupiga kelele bungeni.
Ilibidi kila mkoa awepo mbunge mmoja tu.
Uchaguzi wanasimamia watumishi wa wizara aliyopo mkwe wa Samia na wamepewa maelekezo tayari.Haipo hata ya kusingiziwa
Ni mambo ya aibu sn kuwa na uchaguzi wa kijinga namna hiiUchaguzi wanasimamia watumishi wa wizara aliyopo mkwe wa Samia na wamepewa maelekezo tayari.
Mbeya alikuwa Sugu ni threat kwa mkubwaBaada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi
Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe
Mungu wa mbinguni awabariki Tume Huru ya uchaguzi ๐น
Hali hii inahuzunisha Sana, Watu badala ya kufikiria juu ya maslahi mapana zaidi ya nchi pamoja na wananchi wake, wao wako busy Sana kuwazia maslahi yao binafsi kupitia vyama vyao vya siasa. I feel ashamed to be Tanzanian. Mambo haya ya maslahi ya vyama vya siasa na wanasiasa wake yamekuwa yakituvuruga Sana sisi wa-Tanzania, nchi imekuwa haisongi mbele kumaendeleo kutokana na mivurugano ambayo imekuwa ikisababishwa na wanasiasa.Baada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi
Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe
Mungu wa mbinguni awabariki Tume Huru ya uchaguzi ๐น
SielewiUnaelewa maana ya kukua kwa Huduma za kiuchumi? ๐
Mapendekezo yako ni muhimu sana,sio tu katika maeneo uloyabainisha yapo maeneo mengine nchini yanaonekana kuhitaji kusogezewa huduma zaid...Baada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi
Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe
Mungu wa mbinguni awabariki Tume Huru ya uchaguzi ๐น
Duh, mleta hoja ni kijambio tu.Mleta mada ni speaker tu, redio imeshaongea yaliyofanyiwa maamuzi.
Sugu hawezi kumshinda rais wa Mabunge ya DuniaHuu Ujinga Tu Hakuna Lolote Anayeshindwa Aachwe
Rais Wa Mbeya Atamgalagaza Bi Kidude
Mvomero mapori ndio mengiMleta mada ulishawai kufika jimbo la mvomero. Baadhi ya maeneo wanalazimika kulala njiani ili wafike siku ya pili makao makuu ya wilaya