Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika zaidi kwa Makonda binafsi kuliko hata Makonda wa ofisi ya RC , huyu anapaswa kung'olewa kama alivyong'olewa Makonda , hata kama wanasema ni njama iliyopangwa.
Kama kweli IGP anataka Dar iwe safi basi muda ni huu , Mambosasa aondolewe
Kama kweli IGP anataka Dar iwe safi basi muda ni huu , Mambosasa aondolewe