Ni vema Mambosasa akaondoka na Makonda

Ni vema Mambosasa akaondoka na Makonda

Kwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika zaidi kwa Makonda binafsi kuliko hata Makonda wa ofisi ya RC , huyu anapaswa kung'olewa kama alivyong'olewa Makonda , hata kama wanasema ni njama iliyopangwa.

Kama kweli IGP anataka Dar iwe safi basi muda ni huu , Mambosasa aondolewe
AMINI USIAMINI, Jamaa wapo humu wa miwani nyeusi,Itafanyiwa kazi kabla Ya Jumatano ,😁😁😂👏👏
 
Vijana wa Chadema wana stress sana mkuu,

Unaweza ona mtu anaandika uzi wa kumtakia mabaya mwenzake saa saba usiku.
Dogo achana na makonda utajidhalilisha bure, huyo ana laana ya Mzee Warioba kwa kumtandika makofi alipokuwa akipinga ujio wa katiba mpya.
 
Back
Top Bottom