Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Vijana wa Chadema wana stress sana mkuu,Mbna ucku sana huu mkuu
umewahi kufuatilia maandamano kwenye ubalozi wa S.Afrca ?Wewe utakuwa ni kibaka mbobezi ambaye makonda na mambosasa wamekuthibiti sawasawa! Sawa si sawa!!!
Kwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika zaidi kwa Makonda binafsi kuliko hata Makonda wa ofisi ya RC , huyu anapaswa kung'olewa kama alivyong'olewa Makonda , hata kama wanasema ni njama iliyopangwa.
Kama kweli IGP anataka Dar iwe safi basi muda ni huu , Mambosasa aondolewe
Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Dar kang'olewa. Je bado atakuwa powerful as before? Je Marekani itamlegezea masharti?Kwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika zaidi kwa Makonda binafsi kuliko hata Makonda wa ofisi ya RC , huyu anapaswa kung'olewa kama alivyong'olewa Makonda , hata kama wanasema ni njama iliyopangwa.
Kama kweli IGP anataka Dar iwe safi basi muda ni huu , Mambosasa aondolewe
ukisoma kwa haraka huwezi kuelewaWe jamaa bana, sometimes unachekesha sana
Na we ni mmoja kati ya wasijulikana ambaye ilikuwa unatumiwa na hao wanaojulikana laki hawajulikaniWewe utakuwa ni kibaka mbobezi ambaye makonda na mambosasa wamekuthibiti sawasawa! Sawa si sawa!!!
Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Dar kang'olewa.Je bado atakuwa powerful as before?Je Marekani itamlegezea masharti?
Wana stress na jinsi mnavyoendesha nchi kama mmekatwa vichwa.Vjana wa Chadema wana stress sana mkuu,
unaweza ona mtu anaandika uzi wa kumtakia mabaya mwenzake saa saba usiku.
Mi namtetea asiondolewe maana wezi vibaka watatawala huko uraiani haki sio nzuri watu watakabwa mchana kweupe huyu mambosasa anawanyorosha vilivoKwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika zaidi kwa Makonda binafsi kuliko hata Makonda wa ofisi ya RC , huyu anapaswa kung'olewa kama alivyong'olewa Makonda , hata kama wanasema ni njama iliyopangwa.
Kama kweli IGP anataka Dar iwe safi basi muda ni huu , Mambosasa aondolewe
Inawezekana maana angetumbua wengine (waliotia nia )amwache yeye wakati nae katia nia ingeonekana anamlinda.Ila mimi naona kuondoka kwa Makonda ni kiini macho, tunachezwa shere hapa.
Mambosasa amezuia uhalifu ! Wewe unaishi Dar kweli ?Mi namtetea asiondolewe maana wezi vibaka watatawala huko uraiani haki sio nzuri watu watakabwa mchana kweupe huyu mambosasa anawanyorosha vilivo
Happana hajang'olewa bali huo ni mkakati wa kumubadilishia kazi apewe yenye hadhi zaidi kama Uwaziri baada ya kuchukiwa sana na wakazi wa Dar akiwa RC. Asipopita kwenye kura za maoni, Mwenyekiti alikwishasema hata watatu au wanne atachukuliwa hata kupewa Uwaziri huku wa kwanza akiachwa solemba. Vinginevyo alishindwa uchaguzi atateuliwa Ubunge na kukabithiwa Uwaziri wa Mambo ya Nje kuwaonyesha Wamarekani kuwa hawawezi kumzuia homeboy kuingia kwenye nchi yao vinginevyo Secretary of State wao Pompeo nae atazuiwa kuingia Tanzania. Pompeo na Makonda hand in hand!Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Dar kang'olewa.Je bado atakuwa powerful as before?Je Marekani itamlegezea masharti?