johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yaani kama wewe ni mjumbe wa kamati kuu basi ushauri wangu ni sahihi kabisa.Acha na wewe kujivunjia heshima
Hilo neno la Mbowe kumualika Zitto limetoka wapi? Kama Zitto aliamua kwa ridhaa yake kumtembelea Mbowe mlikuwa mnataka makomandoo wa Mbowe wamzuie?
Acheni kuendekeza umbea wa yule bwege Mlawa, maana mtu mwenye akili timamu tukiona una quote maandishi yake itabidi tukudharau, na wewe sidhani kama waweza kukubali credibility yako ikaharibiwa na bwege yule.
Vinginevyo tuleteeni ushahidi wa Mbowe kumwalika Zitto amshukuru, kwa nini amualike amshukuru badala ya kumfuata? Chunga heshima yako brother!
Tulikuwa naye kwenye nini Mbatizaji?Yaani kama wewe ni mjumbe wa kamati kuu basi ushauri wangu ni sahihi kabisa.
Huyo unayemtaja Mlawa si mlikuwa naye hapo Ufipa!
Tena wewe ndio unaweza kumkata "ngwala" Katibu mkuu!Unatukera sana
Hahahaaaa...... Safi sana Muroto!Acha biti za kitoto
Sina tabia ya kujibishana na m.choko aina yako. Kaa pembeniAcha biti za kitoto
Movement ya Katiba mpya hadi pale alipowashauri muingie msituni!Tulikuwa naye kwenye nini Mbatizaji?
Ona ulivyo mjinga!Umevaa shanga?
Kwani nani kakuambia movement ya katiba ni ya Chadema pekee?Movement ya Katiba mpya hadi pale alipowashauri muingie msituni!
We ulienda?Hivi kumbe watu wote walioenda kwa mbowe kumsabahi walipewa mualiko na mbowe !
Inabidi jamaa anzishe chama chake kama vpTena wewe ndio unaweza kumkata "ngwala" Katibu mkuu!
Au uzuiliwe kwa Mabomu na FFU , au siyo ?Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni.
Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe.
Mwaliko ule umetafsiriwa kama ni Mbowe kumshukuru Zitto Kabwe kwa kumuombea msamaha na hatimaye Freeman akaachiliwa kwa kusamehewa lakini kupitia kirungu cha DPP.
Ikumbukwe Zitto Kabwe alitamba kuwa yeye alikuwa na taarifa ya Mbowe kusamehewa kabla DPP hajatimba mahakamani.
Mungu wa mbinguni ibariki Chadema na ACT wazalendo!