johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kuuzuia hapana manka!Au uzuiliwe kwa Mabomu na FFU , au siyo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuzuia hapana manka!Au uzuiliwe kwa Mabomu na FFU , au siyo ?
Askari hao hao waliombambikizia Kesi?Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni.
Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe.
Mwaliko ule umetafsiriwa kama ni Mbowe kumshukuru Zitto Kabwe kwa kumuombea msamaha na hatimaye Freeman akaachiliwa kwa kusamehewa lakini kupitia kirungu cha DPP.
Ikumbukwe Zitto Kabwe alitamba kuwa yeye alikuwa na taarifa ya Mbowe kusamehewa kabla DPP hajatimba mahakamani.
Mungu wa mbinguni ibariki Chadema na ACT wazalendo!
utasubiri saana ndugu !!Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe.
Kusubiri nini wakati mchungaji anafungasha virago?!!utasubiri saana ndugu !!
Raskazone ulikuwa ni mkutano mkuu wa NCCR bwashee na sio kamati kuu.Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni.