Ni vema mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA pakawepo ulinzi wa polisi yasije yakatokea kama ya Mrema enzi za NCCR kule Tanga

Askari hao hao waliombambikizia Kesi?
 
Raskazone ulikuwa ni mkutano mkuu wa NCCR bwashee na sio kamati kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…