fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Basi kama sirikali kweli inataka kusaidia taifa a kesho kurudisha hadhi ya Mtanzania kuw mzalendo na nchi yake basi pasipo na shaka lazima tuwe watu waku make opportunity kulingana na mazingira yetu.
Basi nimekutuna na mzungu fulani nikiwa natoka kusoma, ana furaha na kazi yake ya udereva wa mabasi hapa nchini Germany.
Yani anaipenda kazi yake na ni professional yake aliyoichagua kuanzia akiwa mtoto mdogo. Kubwa zaidi nililoshangaa ni kua hajui kuandika hata essay 1 kwa Kiingreza; yani yeye anajua tu kuandika jina lake na vitu baadhi.
Nikafuatilia nikajua kitu. Kumbe elimu ya awali kwa mtoto pale ndiyo sehemu mzazi anapotakiwa kujua talent ya mtoto wake. Yaani unaweza ukaingia darasani ukakua darasa la vidudu limejaa kila toy unayoiwaza hapo akilini kwako kasoro (#×+%), nazani mnazijua wakesha zile sites.
Yani darasa lina portion kama 12 za toys tofauti mpaka za mapolisi -- Uchoraji, urembo, mazingira, hospitali. Na mbele mwalimu anaendelea kufundisha lakini sio lazima mtoto kumsikiliza; yani wana-consider mno interest za mtoto na ndiyo maana tunahisi wazungu wanazo akili mno ila hawakuti hata mwanafunzi wa form 4 Tanzania.
Yani wangekua wanasoma kama sisi Bongo, basi ungekuta wote duniani tunatishana; hamna mwenye uwezo kuzidi mwenzie.
Wakakaa wakaona ni vyema mtu ajifunze kwa ufasaha kitu kimoja kwa nguvu zote kuliko kusoma PCM for being content holder sio competence holder.
Naomba wazazi tusaidie watoto wetu maana hamna mtu Bongo wakukutakia mafanikio ya mwanao. Kila mtu anabeba mzigo wake wale wenye hela hongera zao maana wanawakimbiza watoto wao na hili janga la kulishana ma-content hovyo yaliyojaa kejeli.
Sipingi, ila huku kusoma soma vitu tusivyovipenda vimepelekea hata kuongezeka kwa waropokaji. Hata uku mtandaoni tunaona na hapa watapita mtawaona
Tanzania ili tubadilike tutoke kwenye giza tulilopo basi elimu isiwe bure tu, bali iwe elimu ya kumwezesha mtu kupenda kile anachokisoma. Hii huleta ubunifu, nani anabisha?
90% ya Watanzania wote hawapendi kazi zao wanazozifanya; hata wewe unayesoma huu uzi hupendi kazi yako muda mwingine.
Mniombee ninatafuta usafiri nirudi nyumbani, nimemiss wali wa maharage ya nazi.