Ni vema mtoto wa Kitanzania asome masomo yatakayomwongoza kufanya kazi aipendayo hapo baadaye

Ni vema mtoto wa Kitanzania asome masomo yatakayomwongoza kufanya kazi aipendayo hapo baadaye

Hapa bongo watu wengi wanasoma kwa kukariri, hawasomi wakaelewa walichosoma, akisahau alicho kisoma basi inakuwa imetoka hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siri ya uweledi ni kuelewa unachokisoma.

Ukisoma udaktari ukawa unayaelewa masomo basi unaweza kutumia idea zile zile kufanya utafiti wako na ukafanya reasoning mbali mbal
 
Back
Top Bottom