safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Nov 8, 2020 #21 fungi06 said: Mumuangalie vizuri uyo dogo Click to expand... Kwa nini unasema tumuangalie vizuri mkuu ?
fungi06 said: Mumuangalie vizuri uyo dogo Click to expand... Kwa nini unasema tumuangalie vizuri mkuu ?
Am the One JF-Expert Member Joined Nov 1, 2018 Posts 903 Reaction score 892 Nov 17, 2020 #22 Kichwa Kichafu said: Hata elimu iliyopo watu wanamaliza hawajui chochote. Click to expand... Hapa bongo watu wengi wanasoma kwa kukariri, hawasomi wakaelewa walichosoma, akisahau alicho kisoma basi inakuwa imetoka hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Kichafu said: Hata elimu iliyopo watu wanamaliza hawajui chochote. Click to expand... Hapa bongo watu wengi wanasoma kwa kukariri, hawasomi wakaelewa walichosoma, akisahau alicho kisoma basi inakuwa imetoka hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Nov 17, 2020 #23 Am the One said: Hapa bongo watu wengi wanasoma kwa kukariri, hawasomi wakaelewa walichosoma, akisahau alicho kisoma basi inakuwa imetoka hiyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Siri ya uweledi ni kuelewa unachokisoma. Ukisoma udaktari ukawa unayaelewa masomo basi unaweza kutumia idea zile zile kufanya utafiti wako na ukafanya reasoning mbali mbal
Am the One said: Hapa bongo watu wengi wanasoma kwa kukariri, hawasomi wakaelewa walichosoma, akisahau alicho kisoma basi inakuwa imetoka hiyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Siri ya uweledi ni kuelewa unachokisoma. Ukisoma udaktari ukawa unayaelewa masomo basi unaweza kutumia idea zile zile kufanya utafiti wako na ukafanya reasoning mbali mbal