rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Pirates mdebwedo usiogope na mvua inanyesha keshoKumkosa Sadio Kanoute kwenye mchezo huu ni pigo kubwa..!
Umuhimu wake upo hapa..!
Bidii ya kukimbia na umakini mkude ni zero kbsaKenedy aanze ana kasi pia mzuri kwa mipira ya kichwa, lwanga pia aanze pamoja na kucheza rafu ni mwepesi kucover nafasi kulinganisha na mkude mechi ya marudiano na asec ilionyesha madhaifu makubwa ya mkude
Hivi Simba ina mchezaji anaitwa LWANGWA?Kennedy kesho kama akianza ndiyo itakuwa siku yake mbovu kuwahi kuwa Simba, kesho ndio mtaona mapungufu mengi ya inonga ambayo hufichiwa na ONYANGO!!!.
Pablo hana option nje ya WAWa na LWANGWA.
Bila LWANGWA hapo kati mkude sio mkabaji, hawezi kuwa mbele ya mabeki, beki line ikawa Salama. Pablo lazima aamue kupaacha pawe uchochoro au aingie na risk ya RED card ya LWANGWA.
Hapa naona mtu akitupiwa 2-1 😀😀🚶
Unataka Thadeo aanze ili tulimwe Red mapema? Akae tu mkude pale anatosha.Huenda Simba SC ikawakosa wachezaji tegemeo, Sadio Kanoute (Box to Box Midfielder) na Joash Onyango (Defender) kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC, kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates April 17, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Baadhi ya Mashabiki wa Simba na Wadau wa Kabumbu Nchini Tanzania wamekuwa na maoni tofauti kwenye kupanga Kikosi cha Simba SC.
Asilimia kubwa wanaamini Taddeo Lwanga kuanza badala ya Mzamiru Yassin na Kennedy kuanza badala ya Wawa.
Utabiri Wangu: Manula, Kapombe, Hussein, Ennock, Kennedy, Mkude, Mzamiru, Sakho, Bwalya, Mugalu, Morrison.
Je kwa upande wako una lipi katika hili..?!
Toa huyo Kibu tafadhali!Yes ,
1.manula
2.kapombe
3.Tshabalala
4.kenedy
5.Henocker
6.Mkude
7.Morisson
8.Bwalya
9.Mugalu
10.Sakho
11.Banda /Kibu
Kwenye vikosi vyenu wengi mnamsahau Boko. Huyo Captain John Boko ni sleeping giant!1.Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Kennedy
5. Inonga
6.0Lwanga
6.1Mkude
7. Morrison
11. Sakho
8 &10Banda
9. Mugalu
Kocha ameamua kumsusaKwenye vikosi vyenu wengi mnamsahau Boko. Huyo Captain John Boko ni sleeping giant!
Hivi amepona?Kwenye vikosi vyenu wengi mnamsahau Boko. Huyo Captain John Boko ni sleeping giant!
Mkuu, mbona kwenye kikosi changu hapo hakuna Lwanga?Unataka Thadeo aanze ili tulimwe Red mapema? Akae tu mkude pale anatosha.
Kibu, Banda, Bocco na Nyoni...Hawa ni wa kumalizia mchezo baada ya tayari tupo mbele ya mabao zaidi ya matatu huko..!Kikosi changu
Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Wawa
Thadeo
Mkude
Bwalya
Morrison
Mugalu
Sakho
Japo kwa kocha wetu utamkuta Kibu na Nyoni ndani
unajua mpiraAanze Wawa na Baka, kati aanze na double pivot(mkude na yoyote) mbele yao akae bwalya pemben BM3 na Sakho mbele Mugalu.
Ingawa Larry Bwalya halitendei haki Jina la Bwalya. Hili ni Jina Kubwa.Kikosi changu
Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Wawa
Thadeo
Mkude
Bwalya
Morrison
Mugalu
Sakho
Japo kwa kocha wetu utamkuta Kibu na Nyoni ndani
Kwa Bocco I stand to differ. Huyo Mwamba huwa namwelewa sana kwenye mechi za kimataifa. Anaweza asifunge ila shughuli yake ni balaa.Kibu, Banda, Bocco na Nyoni...Hawa ni wa kumalizia mchezo baada ya tayari tupo mbele ya mabao zaidi ya matatu huko..!
Akiwa yupo na utimamu wa kimwili, anafanya balaa, ila kwa sasa kwa performance yake yaonyesha hayupo sawa..!Kwa Bocco I stand to differ. Huyo Mwamba huwa namwelewa sana kwenye mechi za kimataifa. Anaweza asifunge ila shughuli yake ni balaa.
Kocha akimpanga utayakataa maneno yako Mkuu! Jamaa muonekano wake tu anatisha!Akiwa yupo na utimamu wa kimwili, anafanya balaa, ila kwa sasa kwa performance yake yaonyesha hayupo sawa..!
Na kwa game kama kumuanzisha ni kutafuta lawama kwa mashabiki