Ni vema Taddeo Lwanga kuanza kwenye kikosi badala ya Mzamiru na Kennedy kuanza badala ya Wawa?

Kennedy kesho kama akianza ndiyo itakuwa siku yake mbovu kuwahi kuwa Simba, kesho ndio mtaona mapungufu mengi ya inonga ambayo hufichiwa na ONYANGO!!!.

Pablo hana option nje ya WAWa na LWANGWA.

Bila LWANGWA hapo kati mkude sio mkabaji, hawezi kuwa mbele ya mabeki, beki line ikawa Salama. Pablo lazima aamue kupaacha pawe uchochoro au aingie na risk ya RED card ya LWANGWA.

Hapa naona mtu akitupiwa 2-1 😀😀🚶
 
Hivi Simba ina mchezaji anaitwa LWANGWA?
 
Huenda Simba SC ikawakosa wachezaji tegemeo, Sadio Kanoute (Box to Box Midfielder) na Joash Onyango (Defender) kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC, kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates April 17, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Baadhi ya Mashabiki wa Simba na Wadau wa Kabumbu Nchini Tanzania wamekuwa na maoni tofauti kwenye kupanga Kikosi cha Simba SC.

Asilimia kubwa wanaamini Taddeo Lwanga kuanza badala ya Mzamiru Yassin na Kennedy kuanza badala ya Wawa.

Utabiri Wangu: Manula, Kapombe, Hussein, Ennock, Kennedy, Mkude, Mzamiru, Sakho, Bwalya, Mugalu, Morrison.

Je kwa upande wako una lipi katika hili..?!
Unataka Thadeo aanze ili tulimwe Red mapema? Akae tu mkude pale anatosha.
 
Mkuu, mbona kwenye kikosi changu hapo hakuna Lwanga?

Mapema tu nimesema kuwa ukabaji wake huenda akapata Red Card na nikasema kuwa kuna game aliingia dakika tano tu alipata Yellow
 
Kikosi changu
Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Wawa
Thadeo
Mkude
Bwalya
Morrison
Mugalu
Sakho

Japo kwa kocha wetu utamkuta Kibu na Nyoni ndani
Kibu, Banda, Bocco na Nyoni...Hawa ni wa kumalizia mchezo baada ya tayari tupo mbele ya mabao zaidi ya matatu huko..!
 
Kwa Bocco I stand to differ. Huyo Mwamba huwa namwelewa sana kwenye mechi za kimataifa. Anaweza asifunge ila shughuli yake ni balaa.
 
Akiwa yupo na utimamu wa kimwili, anafanya balaa, ila kwa sasa kwa performance yake yaonyesha hayupo sawa..!

Na kwa game kama kumuanzisha ni kutafuta lawama kwa mashabiki
 
Kocha akimpanga utayakataa maneno yako Mkuu! Jamaa muonekano wake tu anatisha!
 
Back
Top Bottom