Ni vema Taddeo Lwanga kuanza kwenye kikosi badala ya Mzamiru na Kennedy kuanza badala ya Wawa?

Ni vema Taddeo Lwanga kuanza kwenye kikosi badala ya Mzamiru na Kennedy kuanza badala ya Wawa?

Lwanga kishapewa red card mara ngapi?? Sasa acheze nyoni?? Bado mkude sio mkabaji
 
Lwanga na Wawa wameshinda vita vya kuanza Kikosi cha Kwanza
FB_IMG_1650208940432~2.jpg
 
Ila Taddeo kashajiishia injury plus umri vishammaliza hana maajabu tena hana confidence kabisa msimu uishe tuagane nae tukatafute mido ya mpira.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom