Ni Viashiria gani ukiviona kwa mtu ujua hakupatiwa malezi mazuri?

Ni Viashiria gani ukiviona kwa mtu ujua hakupatiwa malezi mazuri?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza kutuangalia sisi.

Ikabidi niingilie kati kumuomba yule kaka arudishe vipashwe moto kwa sauti ya kawaida tu.

Tumashindwa kutambua wote sisi ni binadamu na tunakosea tujifunze kutreat watu vizuri.

Huyo rafiki yangu ni mtoto wa kishua sijawahi kwenda kwao lakini najiuliza sijui anaishije na wafanyakazi wa nyumbani kwao. Kwa sababu mara nyingi tukiwa pamoja akiongea nao kwenye simu anawafokea anasema bila kufanya hivyo wanakuzoea vibaya.

Sidhani kama hii ni sahihi
 
20240802_145000.jpg
 
Back
Top Bottom