Ni vibali gani nahitaji kuwa navyo ili kuwa na kampuni ya fumigation majumbani na maofisini

Ni vibali gani nahitaji kuwa navyo ili kuwa na kampuni ya fumigation majumbani na maofisini

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,870
Reaction score
6,871
Habari wadau. Kuna mahali nimeona hii fursa kwa hiyo ningependa kujua vibali vinavyohitajika na vifaa vinakopatikana
 
Toka august 7th, hakuna mtu aliyekujibu? kwamba hakuna wataalamu au ni dharau ?
anyways atakuja mtaalamu atakujibu mkuu.
 
Toka august 7th, hakuna mtu aliyekujibu? kwamba hakuna wataalamu au ni dharau ?
anyways atakuja mtaalamu atakujibu mkuu.
Nafkiri hajaweka thread yake clear ndo maana imekua ngumu wadau kumuelewa kwa haraka
 
Back
Top Bottom