Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Wandugu naomba kujua hawa viti maalum wa CCM ni kipi huwa kigezo tofauti na kura wanazopigiwa na wanachama wenzao hasa wajumbe?
Kiukweli wengi wao ukiwaangalia ni wanavutia kwa sura mpaka unasema hivi wanachagua miss Tanzania au pia ni waxuri kwenye kujenga hoja huko bungeni?
Naomba mtujuze nasie ambao hatujui vigezo Zaid ya kura tujue mana nimeangalia Yule wa Mara sijui Arusha dah kiukweli najuta kwann sikuchukua fomu ya ubunge walhai huenda ingeweza kuwa Moja ya connection ya kuwa hata group Moja la WhatsApp!