MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Mpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa.
Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu Wakulima ndio wabao lia njaaa, na wenye mahindi ni Madalali.
Sehemu kama Arusha gunia ni sh 150, 000/ na hakuna mkulima mwenye mahindi ya kuuza, kwa sasa wanalia njaa lakini Bashe hadi leo akihojiwa utasikia nchi ina ziada ya chakula.
Na mbaya zaidi Raisi anawaini sana hawa wahuni itachukua.muda sana kuja kujua anafanya kazi na wahuni