LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi.
Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula amedai nchi inajitosheleza kwa chakula.
Mh. Rais amesha kubali kudanganywa na hawa mawaziri wake wahuni. Watafuta fursa.