Unadhani hata anaelewa anachoongea sasa. Yeye anataka hela zake ajipangie ila wakulima wapangiwe wapate bei gani ilhali ni wao wamevuja jasho.Ulitaka mkulima alime then apangiwe pakuuza?..
Ingia shambani na wewe ukalime uuze ndani tu na sio nje ya nchi..na kama unahofia njaa ujitunzie magunia ya kutosha kwako.
Baadhi ya wa tz wamejaaliwa kulalamika. Iwe jua watalalamika iwe mvua watalalamika, wengine unawakuta wanalalamika vitu vya kipumbavu hadi unatamani umpige mitama.Ila wabongo kulalamika jamani dah! Kwanini kila mtu ni mbaya kwenu asee?
So we mtoa mada una akili na uwezo kuliko kina Bashe, sasa mbona uko chini Sana unataabika tu. Huna hata kicheo wala nini.
Sometimes tupunguze malalamishi jamani. Uchambuzi umezidi sasa, kila mtu kama sio mchambuzi wa uchumi basi mchambuzi wa soka na kama sio wa soka basi mchambuzi wa ajali za ndege
Hata mm huwa najiuliza huyu bashe sijuw walitumia vigezo ganMpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa.
Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu Wakulima ndio wabao lia njaaa, na wenye mahindi ni Madalali.
Sehemu kama Arusha gunia ni sh 150, 000/ na hakuna mkulima mwenye mahindi ya kuuza, kwa sasa wanalia njaa lakini Bashe hadi leo akihojiwa utasikia nchi ina ziada ya chakula.
Na mbaya zaidi Raisi anawaini sana hawa wahuni itachukua.muda sana kuja kujua anafanya kazi na wahuni
View attachment 2424396
Waukize wanajua bei.ya pembejeo au walitaka mkulima aendelee kuwa masikn..?Ila wabongo kulalamika jamani dah! Kwanini kila mtu ni mbaya kwenu asee?
So we mtoa mada una akili na uwezo kuliko kina Bashe, sasa mbona uko chini Sana unataabika tu. Huna hata kicheo wala nini.
Sometimes tupunguze malalamishi jamani. Uchambuzi umezidi sasa, kila mtu kama sio mchambuzi wa uchumi basi mchambuzi wa soka na kama sio wa soka basi mchambuzi wa ajali za ndege
Wakat mahind elfu 3 debe ulinunua au ulikua unasikiliziaHata mm huwa najiuliza huyu bashe sijuw walitumia vigezo gan
Mimi pia nimemfuatilia Bashe kwa muda namuona kama ana tofauti kidogo, anaweza kutufaa. Kuna wakati alivyokuwa backbencher bungeni alikuwa anaongea sense sana.Bashe ni mmoja wa mawaziri bora kuwahi kutokea katika nchi.
Bashe ndo atayeinua secta ya kilimo.
Wewe unataka upate mshahara mkubwa alafu ununua mahindi yetu kwa bei ya chini,wakati gharama za uzalishaji ziko juu.
Wakulima walisha uza kwa bei ya chini kitambo sana, we unashikiwa akili inaonekanaUlitaka mkulima alime then apangiwe pakuuza?..
Ingia shambani na wewe ukalime uuze ndani tu na sio nje ya nchi..na kama unahofia njaa ujitunzie magunia ya kutosha kwako.
Bashe is very smart!.Mpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa.
Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu Wakulima ndio wabao lia njaaa, na wenye mahindi ni Madalali.
Sehemu kama Arusha gunia ni sh 150, 000/ na hakuna mkulima mwenye mahindi ya kuuza, kwa sasa wanalia njaa lakini Bashe hadi leo akihojiwa utasikia nchi ina ziada ya chakula.
Na mbaya zaidi Raisi anawaini sana hawa wahuni itachukua.muda sana kuja kujua anafanya kazi na wahuni
Ndio, unatakaje?Ila wabongo kulalamika jamani dah! Kwanini kila mtu ni mbaya kwenu asee?
So we mtoa mada una akili na uwezo kuliko kina Bashe, sasa mbona uko chini Sana unataabika tu. Huna hata kicheo wala nini.
Sometimes tupunguze malalamishi jamani. Uchambuzi umezidi sasa, kila mtu kama sio mchambuzi wa uchumi basi mchambuzi wa soka na kama sio wa soka basi mchambuzi wa ajali za ndege
Uwezo wenu ni mdogo sana , sikiliza kwanza hakuna Mkulima anaye jua hada mpakana pakoje, na pili wakulima walisha uza mahindi mara tu baada ya kuvuna tena kwa bei ya chini sana, na hao wakulima ndio kwa sasa wana lia njaaaUnadhani hata anaelewa anachoongea sasa. Yeye anataka hela zake ajipangie ila wakulima wapangiwe wapate bei gani ilhali ni wao wamevuja jasho.
We mtoa mada ingia shambani alafu usiuze mahindi yako nje simple tu