Mkulima yupi? Hakuna mkulima anaye jua hata Mpaka wa Namanga au Silali au Tarakea au Holili, wakulima ndio kwa sasa wanapelekewa mahindi ya misaadaMkulima auze popote anapotaka, hilo la kuuza mpaka akiba sio kosa la Bashe ni kosa la huyo mkulima mzembe, misimu inayokuja atajifunza
Auze wapi? Sema Dalali auze anako taka, hakuna Mkulima anaye weza kuuza Mahidi nje ya nchi, hayatokea bado, sema Dalali auze anako takaWivu,
Mtu alime auze anako taka, Ajiwekee Akiba kadiri ya Familia yake,
Mahindi yalipo zuiliwa mlilia, now mnalia tena,
ACHENI USHAMBA VIJANA
Still Bado wakulima ni masikini, unazani gunia 150, 000 kuna mkulima ana mahindi? Sikiliza Wakulima ndio wana njaaa kwa sasa wanapelekewa mahindi ya misaaada au uananiza hayo mahindi ya misaaada wanapelekea wafanya kazi?Waukize wanajua bei.ya pembejeo au walitaka mkulima aendelee kuwa masikn..?
Maigizo, hio mipango ipo sana tangu enzi za MwinyiMimi pia nimemfuatilia Bashe kwa muda namuona kama ana tofauti kidogo, anaweza kutufaa. Kuna wakati alivyokuwa backbencher bungeni alikuwa anaongea sense sana.
Ana mpango mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji ukifanikiwa tunaweza kupiga hatua kubwa.
Ila tatizo mfumo wetu na CCM mara nyingine ni vigumu sana kubadili mambo.
Wakulima walikuwa wakiuza mahindi debe shilingi 3000 hadi 5000Mkulima yupi? Hakuna mkulima anaye jua hata Mpaka wa Namanga au Silali au Tarakea au Holili, wakulima ndio kwa sasa wanapelekewa mahindi ya misaada
Mkuu nakubaliana nawe mipango ipo miaka mingi.Maigizo, hio mipango ipo sana tangu enzi za Mwinyi
Hujui natakaje? Kweli kabisa hujui?Ndio, unatakaje?
Sasa suala la wakulima kuuza mazao mpaka wakasahau kuweka akiba huo ni upumbavu wao na wala Bashe hatakiwi kulaumiwa kwa hilo.Wakulima walisha uza kwa bei ya chini kitambo sana, we unashikiwa akili inaonekana
Kwani huyo mkulima kuna aliye mshikia bunduki kuuza mahindi yake mpaka akashindwa kuweka akiba?Uwezo wenu ni mdogo sana , sikiliza kwanza hakuna Mkulima anaye jua hada mpakana pakoje, na pili wakulima walisha uza mahindi mara tu baada ya kuvuna tena kwa bei ya chini sana, na hao wakulima ndio kwa sasa wana lia njaaa
Hao wakulima unaowapangia bei uliwapa pembejeo?Mpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa.
Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu Wakulima ndio wabao lia njaaa, na wenye mahindi ni Madalali.
Sehemu kama Arusha gunia ni sh 150, 000/ na hakuna mkulima mwenye mahindi ya kuuza, kwa sasa wanalia njaa lakini Bashe hadi leo akihojiwa utasikia nchi ina ziada ya chakula.
Na mbaya zaidi Raisi anawaini sana hawa wahuni itachukua.muda sana kuja kujua anafanya kazi na wahuni
View attachment 2424396
Mnajichanganya sana kushindwa kitofautisha mkulima na mfanyabiashara,mkulima aliuza mazao yake zamani sana msimu wa mavuno, waliopo sasa ni wafanyabiashara ambao nyinyi ndo mnawaita wakulima kisa tu wana stock ya mahindi kwenye maghala yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani hata anaelewa anachoongea sasa. Yeye anataka hela zake ajipangie ila wakulima wapangiwe wapate bei gani ilhali ni wao wamevuja jasho.
We mtoa mada ingia shambani alafu usiuze mahindi yako nje simple tu