Ni vigezo vipi vilimpa Hussein Bashe Uwaziri wa Kilimo?

Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi.

Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula amedai nchi inajitosheleza kwa chakula.
Mh. Rais amesha kubali kudanganywa na hawa mawaziri wake wahuni. Watafuta fursa.
 
Viongozi awamu hii hawaangalii uhalisia bali wanafanya mambo ili kumkomoa Magufuli.

Basi kwakua Magufuli alikataza wao wanaruhusu.

Hawaangalii repercussions za matendo yao.

Uamuzi wa Waziri umeligharimu Taifa na hakuna wa kumwajibisha mtu kama huyu anayefanya Maamuzi yanayolilatea hasara Taifa.
 
Yaani mtu unaishi kwa mtogole alafu unamuonea wivu mkulima wa mbinga aliyelima mahindi na kupata gunia 500
 
Mkuu shida humu watu ni ushabiki manadazi dio umewajaaa, wengi wa Watanzania hatuna uwezo wa kufikiria
 
Mkuu Bongo kuna tatizo la wayu kufikilia, wengi tuna uwezo mdogo mno wa kufikilia na hili ndio tatizo
 
Achaba na hao wajinga una maliza nguvu bule kuwaelimisha
 
Sikiliza hakuna mkulima mwemye mahindi waliuza mwezi wa 7 kwa sasa Madalali ndio wana mahindi, na wakulima wanapelekewa mahindi ya msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…