Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu,
Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo muhimu sana. Lakini zaidi sana kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni jambo muhimu na la maana zaidi.
Kujitolea ni kujiwekea hazina mioyoni mwa wanaopokea majitoleo yako.
Uchoyo na mazoea ya kupokea tu bila kujitolea kuna gharama zake baadae.
Tujifunze kujitolea bila kujibakiza kwa wengine, tuache ubinafsi
Hata Nyerere alichangiwa, ni mawazo ya kijinga tu, Magufuli hakuwa na pesa kumshinda Lowasa lakini wajumbe waliona Magufuli anafaa, kumbuka Lowasa alijiandaa kwa zaidi ya miaka 20.