Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
Hizi nazo ni pumba tu. Pelekea nguruwe wakalePapa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia!
Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki,
Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma)
Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia.
Pamoja na ulinzi mwingine mkubwa unaotumika kumlinda papa!
Sura ya papa ni miongoni mwa sehemu inayorahisisha ulinzi wake binafsi pamoja na faida zingine za siri za kuiongoza dunia.
Ni kweli utaratibu wa kumteua papa unafanyika kwa siri kupitia makadinali kutoka duniani kote kwa kura za siri.
Lakini katika usiri huo una siri nyingine ndani yake!
Kama ingekuwa ni rahisi kama wengi wanavyoamini basi ingekuwa ishatokea siku akateuliwa mwenye magengeza au alama yoyote usoni au hata sura binafsi!
Mtakumbuka mfano Rais wa urusi kuna mazingira tata alionekana na sura kama siyo yeye upande mwingine wakiamini ni yeye!
Sura inayofanana huwa inafaida katika mazingira maalum ya mpito katika utawala wa viongozi wakuu wa kidunia!
Kuna matamko hutolewa tukiamini ni wao kumbe yanatoka kwenye copy image ya viongozi husika katika kazi maalum za kiutawala.
Sura binafsi utaitoaje copy kwa kuifananisha na mwingine? Jibu ni haiwezekani!
Hivyo si rahisi kumpata papa mwenye sura binafsi (personal)
Wiki ijayoWanateua lini tuone live
Hebu endelea kufanunua Mkuu,sijakulewa!Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia!
Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki,
Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma)
Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia.
Pamoja na ulinzi mwingine mkubwa unaotumika kumlinda papa!
Sura ya papa ni miongoni mwa sehemu inayorahisisha ulinzi wake binafsi pamoja na faida zingine za siri za kuiongoza dunia.
Ni kweli utaratibu wa kumteua papa unafanyika kwa siri kupitia makadinali kutoka duniani kote kwa kura za siri.
Lakini katika usiri huo una siri nyingine ndani yake!
Kama ingekuwa ni rahisi kama wengi wanavyoamini basi ingekuwa ishatokea siku akateuliwa mwenye magengeza au alama yoyote usoni au hata sura binafsi!
Mtakumbuka mfano Rais wa urusi kuna mazingira tata alionekana na sura kama siyo yeye upande mwingine wakiamini ni yeye!
Sura inayofanana huwa inafaida katika mazingira maalum ya mpito katika utawala wa viongozi wakuu wa kidunia!
Kuna matamko hutolewa tukiamini ni wao kumbe yanatoka kwenye copy image ya viongozi husika katika kazi maalum za kiutawala.
Sura binafsi utaitoaje copy kwa kuifananisha na mwingine? Jibu ni haiwezekani!
Hivyo si rahisi kumpata papa mwenye sura binafsi (personal)
Ana hoja,asikilizwe!Hizi nazo ni pumba tu. Pelekea nguruwe wakale
Mambo mengine unaelewa kwa matendo siyo hadi uambiwe nafasi ya papa inawarithi ambao washapikwa kitambo! Hapewi mtu asiyejua siri za ufalmeSiri ndani ya siri ni km ipi
Kama ni uongo niambie tangu zamani kwanini hatujawahi kutoa papa kanda ya huku kama anapatikana kwa maombi inamaana afrika hakuna kardinali mtakatifu hata maombi yakatiki siku moja?Uongoo
Dunia ina top leader miongoni mwao ni papa! Hiyo nafasi huwezi ingia ghafla ndugu!Hebu endelea kufanunua Mkuu,sijakulewa!
Hii si ni Nafasi ya Dini!Sasa unaingiaje ghafla bila kuwa mshiriki wa Dini hiyo kwa kuijua Imani na miongozo yake!Markadinali ndio wazoefu.Dunia ina top leader miongoni mwao ni papa! Hiyo nafasi huwezi ingia ghafla ndugu!
Kuna muda atasimama kama papa, na kuna wakati kama kiongozi wa dunia!Siri ndani ya siri ni km ipi
falme kama hizi za kidunia!Mambo mengine unaelewa kwa matendo siyo hadi uambiwe nafasi ya papa inawarithi ambao washapikwa kitambo! Hapewi mtu asiyejua siri za ufalme
Anaweza amuru mtu achinjwe?Kuna muda atasimama kama papa, na kuna wakati kama kiongozi wa dunia!
Uzoefu pekee hautoshi hadi uwe umeandaliwa kukalia hiko kiti kikubwa cha kifalme!Hii si ni Nafasi ya Dini!Sasa unaingiaje ghafla bila kuwa mshiriki wa Dini hiyo kwa kuijua Imani na miongozo yake!Markadinali ndio wazoefu.
Hii dunia ina siri! Sasa ukishapikwa ukazijua siri ndo unakidhi kukalia hiko kiti nafas ikipatikana!U
falme kama hizi za kidunia!
Mkuu Una Siri kubwa,hutaki kuimwaga hadharani!Uzoefu pekee hautoshi hadi uwe umeandaliwa kukalia hiko kiti kikubwa cha kifalme!
Ingekuwa ni uzoefu basi makadinali wote wameiva kwa uzoevu na wamebobea