Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Hii dunia ina siri! Sasa ukishapikwa ukazijua siri ndo unakidhi kukalia hiko kiti nafas ikipatikana!
Hakai kila mtu kwa ghafla
Huu ulimwengu ni wa watu wenye nguvu sana bro! Baadhi ya nafasi hakai wowote hadi awe ameandaliwa kwa nafas husika.Mkuu Una Siri kubwa,hutaki kuimwaga hadharani!
Ile nafas haina kampain manager! Ni utawala unaopangwa nani ashike kuongoza kulingana na majira ya ulimwengu yanamuhitaji mtu mwenye nguvu gani katika ajenda inayofuata!Atakayeshinda ni yule kadinali wa italy pietro
Wee kama una mawimbi usoni au kengeza lako nafasi ya papa kwako kubali ikupite tu!Kwahiyo braza unatutusi sisi wenye sura personal kwamba hatuwezi kua mapapa wala maraisi au sio??
Ukubwa wa komwe langu sidhani kama kuna kiumbe kafanana na mimi, mpaka hapo ndoto zangu za kua papa zimeyeyuka aiseee.
Jiulize ndiye nafasi pekee ya kiimani ambayo ina balozi duniabi wa kumuwakilisha!Kwelii hiyoo nafasi ni kubwa sanaa.
NitakukumbushaIle nafas haina kampain manager! Ni utawala unaopangwa nani ashike kuongoza kulingana na majira ya ulimwengu yanamuhitaji mtu mwenye nguvu gani katika ajenda inayofuata!
Kumbuka kazi nyingine ya papa ni lango la nguvu katika utawala wa wanadamu (wenye dini na wasionadini wacheze wimbo mmoja)
Tafasiri kidogo apo kwenye kiongozi wa duniaKuna muda atasimama kama papa, na kuna wakati kama kiongozi wa dunia!
Tushangilie kapatikana mmarekaniTafasiri kidogo apo kwenye kiongozi wa dunia
Hakuna uhusiano na trump aliye jivisha joho kablaTushangilie kapatikana mmarekani
Dunia inatawaliwa na wenye nguvu wanazimiliki siri zote! Wanaoamua kwa niaba ya ulimwenguHakuna uhusiano na trump aliye jivisha joho kabla