Ni vigumu sana kuwatetea Waislamu, nadhani mmewaona

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
22,569
Reaction score
43,614
TEC hakuna mahali popote walitopo tamka wala kuongelea usislam ama waislamu.

Wao wamekuwa specific juu ya hii serikali ya wahuni inayoua na kuteka raia wake.

Chaa ajabu kobazi huwezi ona kati ya matamko yao wakiikemea utekaji,uuaji na injustice inayendelea nchini.

Waislamu Wao wako bize kuliandama na kulisakama kanisa katoliki na kuleta taharuki na migongano ya kiimani,na wala serikali haikemei wala kuwachukulia hatua(Kumaanisha wametumwa na serikali ya wahuni)

Hawa watu wako deluded na mental destroyed beyond repair.

Wapenda haki tuendelee kusimama na wanaotetea na kulinda haki.
 
Mkuu Hawa Kobazi wachache ni genge la Wahuni tu ambao tulishakomboa Nchi Dec 9 Tutawashughulikia ipasavyo


TEC NI SAUTI YA WANANCHI
 
Nilikua nawaheshimu sana lakini sitokaa niwaone tena kama binadamu waliokamilika.
 
TEC hakuna mahali popote walitopo tamka wala kuongelea usislam ama waislamu.

Shida mna akili ndogo sana, TEC anajibiwa na Waislamu kwa sababu :

1. Anajihusisha na dini.
2. Ni mchochezi ambaye hakemei raia waovu, waharibifu.
3. Kujifanya wao wapo juu ya serikali, wakati sio kweli.
Wao wamekua specific juu ya hii serikali ya wahuni inayoua na kuteka raia wake.

Ndio maana tunamuona Kitima ni muhimu kama wahuni wengine, sababu hajui hata serikali inakosolewaje au mtawala anakosolewaje ? Halafu mnamuita yeye ni kiongozi wa dini. Tunawauliza maswali au swali, nyinyi si mnamfata Yesu, Yesu aliishi chini ya utawala mbovu, je alitumia njia gani kuikosoa serikali ?

Swali lingine, je hao raia wanauliwa na kutekwa bila sababu ? Mbona Mimi au wewe au wale hawajatekwa na kuuliwa ? Kwanini TEC hawakemei raia waovu na wachochezi wa uvunjifu wa amani ?

Ndio maana tunajiuliza hao TEC ni watu wa dini au wanaharakati ?

Sasa kwetu sisi Waislamu tunaafundisho ya namna ya kudeal na viongozi madhalimu, vipi uwakosoe na vipi uwanasihi.
Chaa ajabu kobazi huwezi ona kati ya matamko yao wakiikemea utekaji,uuaji na injustice inayendelea nchini.

Na hutoona hilo, sababu Kuna taratibu nzuri na bora za kuikosoa serikali na viongozi waovu.

Hatufanyi mambo kimihemko na hamasa kama wajinga wajinga.
 
Una udini pia, TEC inatumia loophole ya hali ya sasa kusukuma agenda yake3 ya political dominance, wewe endelea kubeza waislamu kwa kuwaita kobazi uliona la mtema kuni.
 
Andiko
Andiko lako linafunua chuki na dharau za miaka dahari kwa kobazi
Tatizo mnadhani kobazi hawaoni na akili hawana
 
Sikia wewe hakuna sheria yoyote inayo sema mtu akikosoa serikali atekwe nini maana ya mahakama?
 
Aisee mm naishia kuona aibu .. Yaan unajiuliza hivi hawa watu wanamavi kichwani ama wana nn ... Hata kuwaita ma shekhe hawafai wale ni wahuni fulani ila ndo viongozi sasa ufanyeje. Mtu anasimama anasema amani ya nchi hii inasimamiwa na waislam bila wao amani hakuna dah ila hao wahuni vichaa na ndo wanafundisha misikitini ndo wanafundidha madlasa .
 
Wakristo wenzangu msiwaite waislamu "Kobazi"
Na waislamu msituite "Makafiri"
Sisi wote ni Watanzania
Wakristo ni watu Wenye chuki nyingi Mimi nimejua zaidi Jf na hawana uadilifu utagundua zaidi maneno Yao katika kusema Waislamu ndio maana Waislamu kamwe hawawezi kuwa pamoja na watu kama hao .
 
Most of them have low IQ huku wakiendeshwa na mihemko.
Magalatia ndio yenye akili ?

Watu Wenye akili wanaweza kutapeliwa na wachungaji feki na kuabudia sanamu ?

Cheki hii video hii Hawa ndio Magalatia tunaoambiwa yana akili ?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…