TEC hakuna mahali popote walitopo tamka wala kuongelea usislam ama waislamu.
Wao wamekuwa specific juu ya hii serikali ya wahuni inayoua na kuteka raia wake.
Chaa ajabu kobazi huwezi ona kati ya matamko yao wakiikemea utekaji,uuaji na injustice inayendelea nchini.
Waislamu Wao wako bize kuliandama na kulisakama kanisa katoliki na kuleta taharuki na migongano ya kiimani,na wala serikali haikemei wala kuwachukulia hatua(Kumaanisha wametumwa na serikali ya wahuni)
Hawa watu wako deluded na mental destroyed beyond repair.
Wapenda haki tuendelee kusimama na wanaotetea na kulinda haki.