Ni vigumu sana kuwatetea Waislamu, nadhani mmewaona

Magalatia ndio yenye akili ?

Watu Wenye akili wanaweza kutapeliwa na wachungaji feki na kuabudia sanamu ?

Cheki hii video hii Hawa ndio Magalatia tunaoambiwa yana akili ?
View attachment 3511152
Haya ni madhehebu ya kitapeli, yanafahamika...lakini nyie mbona mashehe wenu wale wa juu kbs wanaowaongoza ni watu wajinga vile??
Ni aibu kuwa na viongozi wa aina ile, badilikeni chagueni mashehe ambao pia wana elimu dunia ya KUELEWEKA...hawatakuwa wanatumika hovyo na wahuni!!.
 
Sikia wewe hakuna sheria yoyote inayo sema mtu akikosoa serikali atekwe nini maana ya mahakama?

Watu wengi wanaikosoa serikali, na hukatazwi kuikosoa, lazima uwe na adabu.

Sababu Sheria zenu za hovyo, akitekwa ni sawa tu maadamu maelekezo yakiwa yametoka juu.

Je Kuna Sheria yoyote inayo ruhusu kuitukana serikali na viongozi wake ? Au kuhatarisha amani ?
 
Hasa umasikini wa akili!
Ni Ngumu kuzitenganisha aina zote za Umasikini, sababu aina moja inapelekea kwenye nyingine na zimefungamana.

Umasikini wa Akili, wa Nafsi, wa Roho n.k, unafanya Watu wengi sana kununulika.
 
Hayo ndio mafundisho mnayo fundishwa msikitini kwamba mtu akikutukana umteke na kuua? nchi inaongozwa na katiba ambayo huyo Mama yenu kaapa kama anaona sheria ni za hovyo aende akagombee nchi inayo mpa ruhusa ya kuteka watu
 
Hawa masheikhe ubwabwa ndio wanaoleta matatizo duniani kote.
 
Hayo ndio mafundisho mnayo fundishwa msikitini kwamba mtu akikutukana umteke na kuua? nchi inaongozwa na katiba ambayo huyo Mama yenu kaapa kama anaona sheria ni za hovyo aende akagombee nchi inayo mpa ruhusa ya kuteka watu
Kama katiba ina mapungufu na kukumbatia uhalifu ? Haiwezi kufatwa katiba, sababu katiba hii mliandikiwa na kuihariri tu.

Ndio maana waasi, wasaliti wanapewa stahiki zao. Yaani hata kuuliwa ni katika stahiki yao.
 
Unacheza ngoma za Watawala (Divide and Rule) Sema ni vigumu sana kuwatetea wahuni wanaotumia Dini fulani (au SISI na WAO) kwa faida yao either kwa kutofahamu au upuuzi wa aina yoyote...

Kwahio au ni wahuni na mazezeta (haijalishi kabila lao wala Imani yao)
 
Kama katiba ina mapungufu na kukumbatia uhalifu ? Haiwezi kufatwa katiba, sababu katiba hii mliandikiwa na kuihariri tu.

Ndio maana waasi, wasaliti wanapewa stahiki zao. Yaani hata kuuliwa ni katika stahiki yao.
Kuteka watu, kuiba Kura , kujilimbukizia mali kuua sio uharifu? Wewe huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…