sikusoma sanaMbaya zaidi kiongozi mwenyewe kwa kukosa lugha nzuri ya kuwahutubia walioitwa "wazee". Naye alijibanza kwenye udini badala ya kujibu HOJA za Tec.
Tatizo ni kubwa kuanzia hata kwa viongozi wa nchi. Nao wameendekeza udini.
Tusifike huko itakuwa hatari mnoNaiona naijeria mpya tanzania
Ila waislamu ndio mna chuki zaidi. Nyinyi ndo mlianza kutuita makafiri, na sasahivi jinsi mnavyomshambulia Kitima kwamba kama yeye ni Mkristo basi hapaswi kukosoa utawala wa muislamu inaonesha kabisa mna chuki ya waziWakristo ni watu Wenye chuki nyingi Mimi nimejua zaidi Jf na hawana uadilifu utagundua zaidi maneno Yao katika kusema Waislamu ndio maana Waislamu kamwe hawawezi kuwa pamoja na watu kama hao .
Kuteka watu, kuiba Kura , kujilimbukizia mali kuua sio uharifu? Wewe huna akili
Haya si mambo ya shule kuchapana viboko vya makalioni!Magalatia ndio yenye akili ?
Watu Wenye akili wanaweza kutapeliwa na wachungaji feki na kuabudia sanamu ?
Cheki hii video hii Hawa ndio Magalatia tunaoambiwa yana akili ?
View attachment 3511152
Kama mwananchi amefanya kosa sheria zipo wazi, anakamatwa na polisi anafikishwa mahakamani, ushahidi unatolewa mahakama ikiridhika inamuadhibu. Kama ushahidi ni wa uongo anaachiwa.Swali lingine, je hao raia wanauliwa na kutekwa bila sababu ?
Sawa,sisi Waislamu tunaafundisho ya namna ya kudeal na viongozi madhalimu, vipi uwakosoe na vipi uwanasihi.
Ulitaka yaondolewe kwa njia gani? Kwanza tangu lini maandamano yakawa uharifu?Tuliza akili na uelewe hoja. Hayo yote ni mambo mabaya, swali ni je uhalifu huondolewa kwa uhalifu ?
Unatumia nini kufikiri ?
TEC hakuna mahali popote walitopo tamka wala kuongelea usislam ama waislamu.
Wao wamekuwa specific juu ya hii serikali ya wahuni inayoua na kuteka raia wake.
Chaa ajabu kobazi huwezi ona kati ya matamko yao wakiikemea utekaji,uuaji na injustice inayendelea nchini.
Waislamu Wao wako bize kuliandama na kulisakama kanisa katoliki na kuleta taharuki na migongano ya kiimani,na wala serikali haikemei wala kuwachukulia hatua(Kumaanisha wametumwa na serikali ya wahuni)
Hawa watu wako deluded na mental destroyed beyond repair.
Wapenda haki tuendelee kusimama na wanaotetea na kulinda haki.
Mkuu,Cheki hii video hii Hawa ndio Magalatia tunaoambiwa yana akili ?
Kwanini unawajumuisha viongozi wote badala ya kumtaja Samia kuwa ndio kinara wa kutumia udini kama kete yake ya mwisho kabla ya kuliangamiza Taifa la Tanganyika?Mbaya zaidi kiongozi mwenyewe kwa kukosa lugha nzuri ya kuwahutubia walioitwa "wazee". Naye alijibanza kwenye udini badala ya kujibu HOJA za Tec.
Tatizo ni kubwa kuanzia hata kwa viongozi wa nchi. Nao wameendekeza udini.
Ya October 29 yalikuwa maandamano ?Ulitaka yaondolewe kwa njia gani? Kwanza tangu lini maandamano yakawa uharifu?