Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake.

Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki.

Kiongozi mmoja wapo aliyewahi kumpinga JPM adharani akiwa amefariki ni Januari Makamba na Baba yake. Hawa walitoka adharani nakusema viongozi wazuri hawafi, utawala wa JPM ulikuwa wa kikatili na kwamba nchi iliua diplomasia.

Tofauti na hii royal family viongozi wengine ni wakina nani?
 
90% ya wabunge aliowapitisha kimizengwe
 
Sisiemu wote...
Wapinzani wote, wakiongozwa na Mbowe...

Wakazalisha CHAWA.
 
Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake.

Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki.

Kiongozi mmoja wapo aliyewahi kumpinga JPM adharani akiwa amefariki ni Januari Makamba na Baba yake. Hawa walitoka adharani nakusema viongozi wazuri hawafi, utawala wa JPM ulikuwa wa kikatili na kwamba nchi iliua diplomasia.

Tofauti na hii royal family viongozi wengine ni wakina nani?
Mama akiwa Msaidizi alikubaliana na Jamaa kuhusu kushusha bei ya kuunganishiwa Umeme, lakin jamaa alivyoondoka tu Mama akasema ki uhalisia ile bei ilikua haiwezekaniki.
 
Back
Top Bottom